Ukiona comment isiyo na akili usireply......Ukireply utaonekana mjinga zaid ya mtoa commentUkitoa post tumia akili ..... don't just provoke
Niliandika uzi wangu wiki mbili zilizopita kwamba natafuta mume wa kujenga maisha haya mafupi yaliyobakia duniani, wakaja watu wengi PM lakini hakuna hata mmoja aliyekuwa serious. Wengi wamekuja kunijaribu tu basi, aliyeserious ndiyo namuhitaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwache mwenzako, hayuko vizuri, labda mbususu analiwa anaachwa, sasa kuolewa ni bahati siku hz, naona yuko frustrated sana.Sweetheart hakuna kitu huku..
Yani humu wanaume wa kuoa hakunaUtuombe radhi
Alichelewa ningemuoa angejitokeza mapema, saivi labda nile tuYani humu wanaume wa kuoa hakuna
Ndio nlichomaanisha
Huyu hata kula tu sili
Ndo mana nikamwambia kabisa kabisa humu hakuna.Alichelewa ningemuoa angejitokeza mapema, saivi labda nile tu
Sawa mremboNdo mana nikamwambia kabisa kabisa humu hakuna.
Mdada wa faida.Wa kuokota ๐คฃ๐คฃ
Hebu nifate mimi PMNiliandika uzi wangu wiki mbili zilizopita kwamba natafuta mume wa kujenga maisha haya mafupi yaliyobakia duniani, wakaja watu wengi PM lakini hakuna hata mmoja aliyekuwa serious. Wengi wamekuja kunijaribu tu basi, aliyeserious ndiyo namuhitaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
TupoooSweetheart hakuna kitu huku..
Tulambane basi cha utundu...Kipenzi humu hamna waume wa kuwoa ๐๐
Wamejaa walamba asali
Ni mwendo wa kulambana tu
Usiniambie nawe jimbo lipo wazi tayari๐๐๐Sweetheart hakuna kitu huku..
Kumbe una busara nyingi kiasi hiki?Tafuta rafiki then msomane mbele ya safari. Sasa wewe unatafutaje mume na watu hawakujui?
Unarukage stage?
1. Kufahamiana/urafiki
2. Mchumba
3. Mume
Jichanganye humu utapata marafiki kibao. Usiforce
Jina lako liko kimasihara sanaNiliandika uzi wangu wiki mbili zilizopita kwamba natafuta mume wa kujenga maisha haya mafupi yaliyobakia duniani, wakaja watu wengi PM lakini hakuna hata mmoja aliyekuwa serious. Wengi wamekuja kunijaribu tu basi, aliyeserious ndiyo namuhitaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ganja inanipa busaraKumbe una busara nyingi kiasi hiki?
Ni asubuhi hihii alikuwepo mtu anatafuta mke humu, zungukazunguka mtakutanaNiliandika uzi wangu wiki mbili zilizopita kwamba natafuta mume wa kujenga maisha haya mafupi yaliyobakia duniani, wakaja watu wengi PM lakini hakuna hata mmoja aliyekuwa serious. Wengi wamekuja kunijaribu tu basi, aliyeserious ndiyo namuhitaji.
Sent using Jamii Forums mobile app