Nahitaji mume

Nahitaji mume

Humu hamnaga mpenzi serious .
Wala humu kuna majambazi na wenye roho mbaya na waziba riziki mwanadada oga vizuri nenda pubs za heshima utapata mwanaume mzuri umtakaje hapa utasaga gagaa mwisho wa siku watakudhihaki wakuite malaya kumbe ni wamechoka kuishi kwa tabia zao ni ngumu kudate now just imagine mtu anakuja inbox anasema mamboo naomba mawasiliano yako anakuambia nitumie picha yako piga hivi au vila kumbe limtu lina nyege zake wala halina mpango jingine nipe 30k ndio nijue unanipenda mimi ndio nitakuhudumia hadi ndoa naukikataa kunipa hiyo 30k achana na mimi ni block sasa hiyo ndio nini mtu unuwa karibia kufa naomba msaada eti wapendanao usinizoee kabisa unataka kunichuna anakublock .

Hii ndio nini??
Ujinga huu maisha ya sasa nikuonekana unamjali mtu wataka wenyewe na ndio maana ni single wajinga hawa mie nimesha pewa ushauri na mtu ndio maana napeta saivi humu nikuchart na kuwatukana kule mtaani nikuchuja kililiii wako
Kumbe mkiombwa hela nyie huwa mnamaindi enhee
 
Kwa bahati mbaya pia wanawake hawawezi jua alieko serious na asiye serious kati ya wanaomfuata

Huko pm ni wapi weka namba au njoo wewe inbox nkupe sifa zangu kama unazo tuanze mamiloo
 
Hilo jina itasababisha uendelee kua single mother jina linatisha taswira inayokuja ni kama vile Dume flani! [emoji16][emoji16]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787], Usiku wa Manane nimecheka nikiwa Peke angu
 
Back
Top Bottom