Humu hamnaga mpenzi serious .
Wala humu kuna majambazi na wenye roho mbaya na waziba riziki mwanadada oga vizuri nenda pubs za heshima utapata mwanaume mzuri umtakaje hapa utasaga gagaa mwisho wa siku watakudhihaki wakuite malaya kumbe ni wamechoka kuishi kwa tabia zao ni ngumu kudate now just imagine mtu anakuja inbox anasema mamboo naomba mawasiliano yako anakuambia nitumie picha yako piga hivi au vila kumbe limtu lina nyege zake wala halina mpango jingine nipe 30k ndio nijue unanipenda mimi ndio nitakuhudumia hadi ndoa naukikataa kunipa hiyo 30k achana na mimi ni block sasa hiyo ndio nini mtu unuwa karibia kufa naomba msaada eti wapendanao usinizoee kabisa unataka kunichuna anakublock .
Hii ndio nini??
Ujinga huu maisha ya sasa nikuonekana unamjali mtu wataka wenyewe na ndio maana ni single wajinga hawa mie nimesha pewa ushauri na mtu ndio maana napeta saivi humu nikuchart na kuwatukana kule mtaani nikuchuja kililiii wako