Nahitaji mume

Nahitaji mume

Niliandika uzi wangu wiki mbili zilizopita kwamba natafuta mume wa kujenga maisha haya mafupi yaliyobakia duniani, wakaja watu wengi PM lakini hakuna hata mmoja aliyekuwa serious. Wengi wamekuja kunijaribu tu basi, aliyeserious ndiyo namuhitaji.

Sent using Jamii Forums mobile app

huyoooo hapooo haya nenda inbox sasa

marsaimartin_291776614_1100830037176436_7853578028511002930_n.jpg
 
Masuala ya mahusiano yanahitaji muda, hivyo kuwa na subira inaweza kuwa mume atatoka hapa ama sehemu nyingine. Vuta subira tu kidogo.
 
Tafuta rafiki then msomane mbele ya safari. Sasa wewe unatafutaje mume na watu hawakujui?
Unarukage stage?
1. Kufahamiana/urafiki
2. Mchumba
3. Mume

Jichanganye humu utapata marafiki kibao. Usiforce
Kumbe una busara nyingi kiasi hiki?
 
Niliandika uzi wangu wiki mbili zilizopita kwamba natafuta mume wa kujenga maisha haya mafupi yaliyobakia duniani, wakaja watu wengi PM lakini hakuna hata mmoja aliyekuwa serious. Wengi wamekuja kunijaribu tu basi, aliyeserious ndiyo namuhitaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jina lako liko kimasihara sana
 
Niliandika uzi wangu wiki mbili zilizopita kwamba natafuta mume wa kujenga maisha haya mafupi yaliyobakia duniani, wakaja watu wengi PM lakini hakuna hata mmoja aliyekuwa serious. Wengi wamekuja kunijaribu tu basi, aliyeserious ndiyo namuhitaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni asubuhi hihii alikuwepo mtu anatafuta mke humu, zungukazunguka mtakutana
 
Back
Top Bottom