Nahitaji mume

Nahitaji mume

Huku sio kuzuri sana dear, wapo watu wema ila matapeli pia wamejaa so watch out. Kila lakheri
 
Wanaume tupo,tena single aweke hata picha ili hata tukianza mazungumzo nakuwa na picha nazungumza na mtu wa aina gani co kila mtu n mbaya umu ndan wengne kondoo Tu kwenye kundi la mbwa mwitu..
 
Niliandika uzi wangu wiki mbili zilizopita kwamba natafuta mume wa kujenga maisha haya mafupi yaliyobakia duniani, wakaja watu wengi PM lakini hakuna hata mmoja aliyekuwa serious. Wengi wamekuja kunijaribu tu basi, aliyeserious ndiyo namuhitaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitumia kipimo gani kwa aliye serious na asiye serious?
 
Muombe Mungu mume mwema na bora utampata tuu hilo naamini tatizo usifanye haraka sana na kuwa kama lazima iwe leo mimi naamini anaetaka kuolewa au kuoa ataoa tu wakati wake ukifika..shida mkikutana na wahuni mwanzoni mnakata tamaa ...usikate tamaa waoaji wapo..
 
Niandike kidogo,
Wakati unaandika kuwa hakuna mwanaume serious, at the same time wewe hakuna muda uko free kuzungumza na simu, yaani uko bize 24/7. Do you think kwa namna hiyo utahandle kuwa na mume?
 
Back
Top Bottom