Nahitaji mume

Nahitaji mume

Humu kuna wanaume wa kutosha tu na wenye nia ya dhati ya kuoa. Inhawa sikatai kwenye msafara wa mamba, na kenge wapo.

Binafsi kuna mtu humu nilidhamiria kuonana naye, ili tuyajenhe! Kwa bahati mbaya tulishindwana dakika za mwisho kabisa.
Pole sana
 
Imeandikwa hivi;
"siku ile wanawake saba watamshika mwanaume mmoja na kumwambia, tutakula chakula chetu wenyewe na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako utuondolee aibu yetu". Isaya 4:1

Siku hizi post za wadada kutafuta Waume zimekuwa nyingi sana, tena sio hapa JF pekee bali kwenye kila platform. Naona ile siku aliyoitabiri Nabii Isaya karibu itatimia. 😂😂😂
 
Back
Top Bottom