Nahitaji mwanamke ambaye ni askari(Jeshi la Wananchi TPDF au Jeshi la Polisi) awe mke wangu

jk_watatu

Member
Joined
Mar 20, 2022
Posts
31
Reaction score
32
Hii ni kwa wanawake tuu yani wanaume haiwahusu:

Nahitaji mwanamke ambaye Mungu akipenda ndiye atakuwa mke wangu. Njoo PM kama ni muhitaji nitumie sms huko tukielewana utapata namba zangu za simu nami nitapata zako.

Sifa zangu:
Dini: Mkristo
Umri:35
Elimu: chuo kikuu(masters)
Kazi: Ni muajiliwa (government)pia ni mfanya biashara.
Ninako ishi: Dar es salaam.
Muonekano wangu: Si mnene wala si mwembamba sana, si mweusi wala mweupe sana.

Sifa za nimtakae:
Dini:Yoyote
Umri: 18 - 50
Elimu: Kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
Kazi: Awe Mwanajeshi(jeshi la wananchi au jeshi la police)
Anako ishi: Iwe popote ila ukiwa Dar es salaam itapendeza.
Muonekano wake: Awe anajipenda, msafi mwenye adabu, heshima na utii.

NB: awe tayari kupima afya.
Naamini kuna wengine watadharau na kukejeri ila ninacho amini mke au mume mwema anatoka kwa Mungu na Mungu humpa mtu kwa njia yoyote ile hivyo hata hapa ni njia tu na ninaweza mpata mwenza wangu.
 
Vigezo vimekidhi kasoro hapo kwenye mwanajeshi.. anyway ni shabiki wa konde gang jeshi si tayari nshakua mwanajeshi[emoji3061][emoji3061][emoji3061] karibu pm
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shabiki wa konde boy jeshi
 
Hii ni kwa wanawake tuu yani wanaume haiwahusu:

Nahitaji mwanamke ambaye Mungu akipenda ndiye atakuwa mke wangu. Njoo PM kama ni muhitaji nitumie sms huko tukielewana utapata namba zangu za simu nami nitapata zako.

Sifa zangu:
Dini: Mkristo
Umri:35
Elimu: chuo kikuu(masters)
Kazi: Ni muajiliwa (government)pia ni mfanya biashara.
Ninako ishi: Dar es salaam.
Muonekano wangu: Si mnene wala si mwembamba sana, si mweusi wala mweupe sana.

Sifa za nimtakae:
Dini:Yoyote
Umri: 18 - 50
Elimu: Kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
Kazi: Awe Mwanajeshi(jeshi la wananchi au jeshi la police)
Anako ishi: Iwe popote ila ukiwa Dar es salaam itapendeza.
Muonekano wake: Awe anajipenda, msafi mwenye adabu, heshima na utii.

NB: awe tayari kupima afya.
Naamini kuna wengine watadharau na kukejeri ila ninacho amini mke au mume mwema anatoka kwa Mungu na Mungu humpa mtu kwa njia yoyote ile hivyo hata hapa ni njia tu na ninaweza mpata mwenza wangu.

Na ukimpata ujiandae kukubali masharti ya kazi kuwa akihitajika wakati mda wowote hata kama ni saa saba usiku uwe tayari kumruhusu
 
Back
Top Bottom