Nahitaji mwanamke ambaye ni askari(Jeshi la Wananchi TPDF au Jeshi la Polisi) awe mke wangu

Utakuwa unaendesha PASSO
Weka tu sticker za REFLECTOR pande zote nne. Faini za barabarani ziko pale pale hata ukiwa na mkeo.
Tunamuogopa mtoto wa simbatuueni [emoji23][emoji23][emoji23]
By Trafiki wa zamu

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Hii ni kwa wanawake tuu yani wanaume haiwahusu:

Nahitaji mwanamke ambaye Mungu akipenda ndiye atakuwa mke wangu. Njoo PM kama ni muhitaji nitumie sms huko tukielewana utapata namba zangu za simu nami nitapata zako.

Sifa zangu:
Dini: Mkristo
Umri:35
Elimu: chuo kikuu(masters)
Kazi: Ni muajiliwa (government)pia ni mfanya biashara.
Ninako ishi: Dar es salaam.
Muonekano wangu: Si mnene wala si mwembamba sana, si mweusi wala mweupe sana.

Sifa za nimtakae:
Dini:Yoyote
Umri: 18 - 50
Elimu: Kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
Kazi: Awe Mwanajeshi(jeshi la wananchi au jeshi la police)
Anako ishi: Iwe popote ila ukiwa Dar es salaam itapendeza.
Muonekano wake: Awe anajipenda, msafi mwenye adabu, heshima na utii.

NB: awe tayari kupima afya.
Naamini kuna wengine watadharau na kukejeri ila ninacho amini mke au mume mwema anatoka kwa Mungu na Mungu humpa mtu kwa njia yoyote ile hivyo hata hapa ni njia tu na ninaweza mpata mwenza wangu.
Vipi mzee unataka kuanzisha vita?
 
Nenda kambini mwao wapo wengi sana tena utamani Sana kuolewa na Raia
 
Hii ni kwa wanawake tuu yani wanaume haiwahusu:

Nahitaji mwanamke ambaye Mungu akipenda ndiye atakuwa mke wangu. Njoo PM kama ni muhitaji nitumie sms huko tukielewana utapata namba zangu za simu nami nitapata zako.

Sifa zangu:
Dini: Mkristo
Umri:35
Elimu: chuo kikuu(masters)
Kazi: Ni muajiliwa (government)pia ni mfanya biashara.
Ninako ishi: Dar es salaam.
Muonekano wangu: Si mnene wala si mwembamba sana, si mweusi wala mweupe sana.

Sifa za nimtakae:
Dini:Yoyote
Umri: 18 - 50
Elimu: Kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
Kazi: Awe Mwanajeshi(jeshi la wananchi au jeshi la police)
Anako ishi: Iwe popote ila ukiwa Dar es salaam itapendeza.
Muonekano wake: Awe anajipenda, msafi mwenye adabu, heshima na utii.

NB: awe tayari kupima afya.
Naamini kuna wengine watadharau na kukejeri ila ninacho amini mke au mume mwema anatoka kwa Mungu na Mungu humpa mtu kwa njia yoyote ile hivyo hata hapa ni njia tu na ninaweza mpata mwenza wangu.
Mm napenda mwanaume mwanajeshi yaan nikiwaonaga najisikia kulowa kwa kweli,
 
Back
Top Bottom