Nahitaji mwanamke ambaye ni askari(Jeshi la Wananchi TPDF au Jeshi la Polisi) awe mke wangu

Ukiwa na mchepuko atatumiwa wabakaji na wanamuwekea nyimbo ya mtoto kautaka.
 
Ukimpata nipe connections na mashemeji zako wajeda mkuu 😀😀 sharti bega liwe chafu
 
Sasa kama mungu humpa mtu mke ama mume kwa njia yeyote ile,......kwa nini wewe utake huyo mke apitie njia ya uaskari?
 
Wakifikia ngazi ya Warranty officer 1 or 2 huwa wanakengeuka kinyama.

Kwa poli wakianza sergeant au kufikia staff sergeant wanasumbua kinyama.

Kama utawaweza kila la kheri mkuu, andaa hata karevolver ka kujilipua akianza kukupelekesha.
 
Na sijui ni kwanini tu tena hasa kwanzia S/SGT Huwa ni moto hasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…