Nahitaji mwanamke asiyezaa

Makubwa.dunia haiishi vituko.
 
yupo sepenga anakusubiri
 
Utajiri wa NDAGU ,hauruhusiwi kuwa na MTOTO.
 
Kuna watakaokubeza lakini hili jambo la kutaka ndoa isiyo na mtoto sio jambo geni kwa nchi nyingine..
 
mwendo wa kumwaga ndani tu hakuna cha 'oh bebi sioni siku zangu' wala nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…