Nahitaji mwanamke asiyezaa

Nahitaji mwanamke asiyezaa

[emoji4][emoji2] cjui patakuwa waziiii
Hujambo?

Mbona jina lako linafanana sana na la mjukuu wangu mpenzi Joanah

Isije ikawa wewe ndie pacha wake uliyepotea....

Tafadhali kama ni wewe, rudi nyumbani kumenoga
 
Hujambo?

Mbona jina lako linafanana sana na la mjukuu wangu mpenzi Joanah

Isije ikawa wewe ndie pacha wake uliyepotea....

Tafadhali kama ni wewe, rudi nyumbani kumenoga

Kumbe nina pacha??

Sijawahi kujua hii 😂
 
Ina maana kila mwanamke alie JF anaweza kuzaa ?
 
Kama wewe ni mwanamke mgumba umri 18 - 30, basi mie nilikuwa nakutafuta wewe!

Kiufupi ni kwamba nataka kuoa ila sina mpango wowote wa kuwa na mtoto (yaani mpango wowote). Kwa minajili hiyo basi mwanamke anaenifaa zaidi mie ni mwanamke mgumba ili tujenge maisha pamoja.

Niweke angalizo: 1. Sifurahii tatizo la ugumba, naamini ni tatizo kubwa kama matatizo mengine na naamini walio nalo wanahitaji faraja. Kwa kuwa kukosa mtoto ni jambo baya sana.
2. Siwachukii watoto na nafurahi sana ninapokuwa na watoto hasa wa majirani zangu na kaka yangu.


Naamini mwanamke mgumba anahitaji kupendwa na faraja sawa na mwanamke mwingine yeyote yule na hivyo naomba nitumie nafasi hii kuwaambia kuwa nahitaji mwanamke mgumba.

Kama wewe sio mgumba lakini unataka maisha ya kigumba basi we njoo tu, HAINA SHIDA, ila usije kunisumbua mbele ya safari.(oooh! Joel mi nataka mtoto kama mwajuma)

Umri nishataja angalia hapo aya ya kwanza. Usijali kama huna kazi maana mimi kazi nnayo. Tutaishi kwa kazi yangu.

Kuna mtu anasoma hapa anajiuliza, "sasa hawa hawana mtoto wanataka kufanya nini ndani ya ndoa ?"

Yapo mengi ya kufanya hasa ya kijamii, kujitolea, kulingana na huyo mwenzangu ntakayempata.

Nicheki PM kama uko interested.
Dah! Kigezo chà umri nimenikosesha mume nimezidi kidogo
 
Umenichekesha sna wkt fln Niko nataka kusex na mwanamke mmoja demu wangu Ila akanitadharisha kuwanisimwage ndani asije kubeba mimba kipind hiki duh bas nikamjibu mm cwezi kuzalisha ....akashanga Sana [emoji38] [emoji38] na kucheka bas
 
Kauli yako haikukaa vizuri, sema hivi ! "Nahitaji mwanamke wa kuishi nae ila sihitaji watoto" Yeye atajua namna ya kujipanga.
 
Back
Top Bottom