Optimistic_
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 2,347
- 1,850
Yaani Una panic balaa itakua una mental retardation sio bureSiko hapa JamiiForums kutoa Elimu kwa Wapumbavu wasioelewa kuwa neno Masikini ni very broad logically na kwamba Mtu Kujiita Masikini hamaanishi ambavyo Wapuuzi wengi mlivyokariri au mlivyokaririshwa.
Acheni tu Kunichosha Kuwaelimisha juu ya neno Masikini au kujiita Kwangu Masikini kwani Mnaniboa pia vile vile sawa? Kama unaona hunihitaji au sina Sifa za kuwa nawe achana na Mimi tafuta wa Level yako mbona wapo wengi tu hapa kwanini mhangaike na Masikini Mimi?
Kwani ulilazimishwa kuandika huu uzi JF?Majibu yangu kwa Fools and Hypocrite kama Wewe huwa ni hayo na hayatobadilika. Nimekuita?
marinara ni nini dada yanguTumeambiwa tuache marinara....mwenye uzi hapendi.[emoji854][emoji6][emoji854][emoji6]
Sikutaka Ushauri wako juu ya Maamuzi yangu ila nakushukuru kwa kunitakia Kila la Kheri katika Jambo langu na Umechelewa mno kunitakia Kwako kheri huku.Ni Ushauri tu Either Take It or Leave it. Maana Maisha ni Yako mkuu
Haina Shida Na Endelea kutafuta Mwanamke atakayependa Umasikini uliousema Hapo Juu
Maoni ya Wapumbavu wa Kurithishwa kama haya yako wala huwa hayanivunji Moyo na una uhakika gani labda kama mpaka sasa sijampata Mlengwa na hapa nawasanifu tu bila nyie Kujijua?Mwanamke maskini Anahitaji mwanamme tajiri mzee sio kapukuuu tena[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Wewe kama kapuku tumia deto au kuwa single usitake kumchosha mtoto wa watu
Ila nina uhakika Kukutia vizuri naweza mno.Huyo ndoa hawezi hata kidogo..
Hata kuhimili mikiki mikiki ya ndoa hawezi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Masiharamarinara ni nini dada yangu
Mbona tupo wengi tu maskini humu !!Yaani unaweza peruz jf alafu unasema wewe maskini...jamani tuna madharau kweli kweli.
Bila shaka unaowaambia watakuelewa.Tumeambiwa tuache masihara....mwenye uzi hapendi.[emoji854][emoji6][emoji854][emoji6]
Mkuu Wewe hujui kuwa kila JF Member ni Tajiri na Sisi tunaojinasibu Kiuwazi na Kiukweli kuwa ni Masikini tunaonekana ni Washamba, Wachawi na hata Wendawazimu?
Tokea page ya 5 unajua Mimi ni Mende na nina Utindio wa Ubongo ila cha Kushangaza hadi hivi sasa Uzi uko page hii ya 7 unaoendelea tu Kuhangaika na Kushoboka nami tangia kule katika PM nimekukataa ila unanilazimisha tu au Umeshaathirika na VVU hivyo unataka Kuniambukiza na Kuniua na Mimi? Nasisitiza kuwa Sikutaki hivyo usinisumbue sawa?Kwani ulilazimishwa kuandika huu uzi JF?
Acha kupanic mende wewe
Mtoa uzi ana utindio wa ubongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Inazidi ya aliyekuzaa na Kukuleta Moron Wewe?
haya dadaMasihara
Wamo humu maskini kutuzidi hata bando wanaungaunga .Kuna maskini wengi ambao hawajui kama ni maskiniMkuu Wewe hujui kuwa kila JF Member ni Tajiri na Sisi tunaojinasibu Kiuwazi na Kiukweli kuwa ni Masikini tunaonekana ni Washamba, Wachawi na hata Wendawazimu?
Kama amakidhi Umri tajwa na hajazidi hapo anakaribishwa ila tu asiwe Mpuuzi, Mnafiki na anayefanya Mzaha na Hoja yangu Kuu.Kwa umri huo uliosema single mother anakaribishwa?
Nadhani Mimi ndiyo Masikini hasa Mkuu.Wamo humu maskini kutuzidi hata bando wanaungaunga .Kuna maskini wengi ambao hawajui kama ni maskini
Sent using Jamii Forums mobile app
yaan nami nimewaza kama wewe mtu ana mpaka email adressYaani unaweza peruz jf alafu unasema wewe maskini...jamani tuna madharau kweli kweli.
Sijui ni lini Nuts and Uncivilized People kama Wewe ( Nyie ) mtapungua kama siyo Kupukutika kabisa Tanzania au Duniani kabisa..yaan nami nimewaza kama wewe mtu ana mpaka email adress
Mungu akawe mfariji wakoBut let them not be Fools as you're Ok?