- Thread starter
- #81
Yawezekana Wewe ukawa ni Mpenzi wangu niliyeachana nae hivyo ndiyo maana hadi unaweza Kujua Shida zangu za Kupigwa na Maisha mpaka Umri wangu mkubwa ambao Uliukubali na hata nlipokuwa nakulala ulijua kuwa Unalalwa na Mzee Jitu zima ila tatizo la Upumbavu wako Uliorithishwa na waliokuleta duniani hulijui au kama unalijua umeshindwa Kulitatia.Hayo ya walionileta duniani yanaingiaje hapa?
Mbona ni mtu mzima usiejielewa wewe
Kweli wewe ni mpumbavu na mjinga wa kiwango cha reli ya SGR
Yaani watu maisha yakiwapiga mnawehuka kabisa
Lijitu zima hovyo na hopeless kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa sichoki Kuelimisha Fools wa aina yako na cha Kushangaza zaidi ni kwamba tayari umeshajua kuwa nimechanganyikiwa na Maisha lakini bado tu unapoteza muda wako Kujibizana na Kujipendekeza katika huu Uzi wangu.