Nahitaji Mwanamke mwenye Umasikini kama wangu ili tupendane Kidhati na tushirikiane Kuinuka Kimaisha

Nahitaji Mwanamke mwenye Umasikini kama wangu ili tupendane Kidhati na tushirikiane Kuinuka Kimaisha

Pole mkuu kwa changamoto unazopitia. Nina maswali kadhaa kwako,
Kwanini katika umri wa 43yrs hujaoa bado, kwanini una amini hadi uoe ndo ufanikiwe why usikomae mwenyewe tu kwanza.!

Kila lakheri mkuu.! Mzee Mengi aliwahi kusema “kufanikiwa kimaisha hakuna umri” komaa.
 
Kila Binadamu hapa duniani ana Malengo yake ya Kimaisha na laiti ungeelewa niliposema kuwa nimepatwa na Changamoto wala usingehoji hivi.

Unadhani hapa ni sehemu sahihi ya Mimi kuanika hizo Changamoto zangu? Kwanini Kipaumbele kisiwe ni Lengo langu Kuu ambalo huenda likitimia kwa Kudra zake Mwenyezi Mungu ndiyo likawa moja ya Utatuzi kwa Changamoto?

Kwahiyo ulitaka / mlitaka nihitaji Mwanamke hapa ila nidanganye kuwa nina Maisha mazuri, Tajiri na mengineyo ya Usanii na Uwongo?

Nasisitiza Mimi ni Masikini ila napambana Kuondokana nao pamoja na Changamoto za Kimaisha nilizonazo ila naamini kwa Neema zake Mwenyezi Mungu akinipa Mtu sahihi hapa basi kwa Kushirikiana Kwetu, Kujipanga Kwetu, Kujitoa Kwetu na Kumtaguliza Yeye Ukurasa mpya wa Mafanikio utaanza baina yetu na Kumtukuza zaidi Yeye kwa Baraka zake.

Asante.
 
Kaka yangu tatizo lako si umasikini ulio nao bali ni changamoto ulizo zipitia ndio zimekufanya uamini hivyo kwamba umasikini umasikini sasa nakuambia nyenyuka futa magoti ndende yalio pita yamepita
 
I respect your remark as you also have to respect my wish on the concerned thread.
you didn't take my comment in positively manner,I should have skipped this thread but..... you are my brother in Islam and luckily enough we are facing the same shit and at least you got a balls to come out and speak your agonies..
 
Noted.
 
Back
Top Bottom