Nahitaji Mwanamke mwenye Umasikini kama wangu ili tupendane Kidhati na tushirikiane Kuinuka Kimaisha

Nahitaji Mwanamke mwenye Umasikini kama wangu ili tupendane Kidhati na tushirikiane Kuinuka Kimaisha

Sipendi kudanganya na kuficha nina Maisha magumu na napitia Changamoto kadhaa za Kimaisha, ila naamini nikimpata Mwanamke mwenye hali kama yangu na tukapendana, kushirikiana, tukapambana na kumuomba Mwenyezi Mungu bila Kuchoka basi Umasikini wetu utabadilika na Mafanikio kutupata.

Naitwa Caludgi Mtemi Mpota nina miaka 43. Nina Shahada ya Kwanza ya Chuo Kikuu. Ni Mkristo wa Katoliki na Kabila langu ni Mmwela.

Nakaribisha Mwanamke mwenye Umri wa kuanzia miaka 38 mpaka miaka 43 tu tafadhali.

Kama kutakuwa na Mwanamke mwingine ambaye siyo Masikini kama niliyemhitaji na atapenda kuwa nami basi Kwanza awe tayari Kuupokea huu Umasikini wangu na Kipaumbele chetu kiwe ni Kushirikiana ili tuinuke pamoja.

Nipo tayari kupima nae Afya ya Magonjwa yote makubwa na hatarishi katika Hospitali yoyote ile muda na wakati wowote akihitaji ili ajiridhishe nami na tujiridhishe sote pia Kiafya.

Kwa Mwanamke atakayekuwa na nia ya Dhati nami basi tuwasiliane kupitia email address yangu hii ya mtemi.m@yahoo.com na nakaribisha zaidi Wanawake wa walioko Dar es Salaam, Morogoro na Tanga kutokana na Ukaribu wa Kijiografia.
Kwanza wewe mmwela wa Kijiji gani mkuu ama usikute ni wa mpiga miti.
Msalimie Bibi likunji
 
Unawajua maskini kweli mkuu..
Mtu una degree unajiita maskini ajabu sana hii

Sent using Jamii Forums mobile app
95% ya Wanaijeria ni Wasomi tena wa Masters na Doctorates ( PhD ) mbona bado ni Masikini na wanapambana na Umasikini?

Neno Masikini liko to broad kwa Mtu Kulielewa kwani wako Wengine wanatafsiri kutokuwa na Kiungo ni Umasikini au kutokuwa na Akili ni Umasiki na wengine Neno Masikini tunalitumia hasa pale ukiwa Financially Broke kwa Kipindi fulani kutokana na Changamoto zilizopo.

Na sijajiita Masikini labda kama kutaka Huruma au kama ni Sifa bali nimetumia kama Tahadhari na Alert pia kwa Wanawake wengi ambao ni Materialistic katika Mahusiano kuwa Mimi siko hivyo na hata atakayenipenda lazima alijue hilo.

Sikujua kwahiyo kumbe Kwako Wewe ukiwa na Bachelor Degree au Masters Degree au Doctorate Degree tayari ni indicator kuwa siyo Masikini? Yawezekana Kitabu cha Uchumi nilichokisoma na kilichoelezea vyema maana ya Umasikini kilikuwa ni Tofauti na kile ulichosoma Tajiri na Msomi Wewe.
 
Ambao mnahoji hoji kuhusu umasikini wa mleta mada kwani mnatakakuolewa naye? kuweni wawazi kama ni hivyo!
Bora umekazia katika Kuliuliza / Kuliulizia hilo Mkuu na Kinachonishangaza nimeamua Kujiweka wazi hivyo kwakuwa sipendi Uwongo na Usanii kama ambavyo huenda wengi Wao ndivyo walivyo Wakiwatongoza Wanawake ama hapa JamiiForums au nje ya hapa.

Hivi Mimi kusema ni Masikini na nina Changamoto zangu za Kimaisha na kwamba namhitaji Mwanamke wa Kulielewa na Kulipokea hilo ili kwa pamoja tuanzie chini ili twende sawa ni tatizo au ubaya au dhambi?

Na mbaya zaidi wanaohoji ni Wanaume.
 
Kwani degree za bongo ni lolote sema tu basi.........
Yangu ( Degree ) ambayo nimeipatia hapa hapa Bongo / Tanzania naiheshimu na nima Thamani nayo na kama Unaidharau yako basi hayo ni Matakwa yako Mkuu.

Kuwa Kwangu Masikini na kuwa na Changamoto zangu wala hazihusiani na Mimi kuwa na hii Shahada yangu ya Kwanza ya Chuo Kikuu. Kikubwa ni Mimi Kujipanga vyema, Kutokata Tamaa, Kujituma, Kupambana, Kumpata Mwenza wangu, Kumtanguliza Mwenyezi Mungu na huko mbele katika Suala zima la Ubunifu wa Kimaisha najua nitaitumia na itanisaidia kwani Elimu haiozi na hata Maarifa nayo hayaozi Kikubwa ni Uhai na Afya njema tu.
 
Mkuu,kwamba wewe ni Mmwela?? Liwale, Nachingwea,Ruangwa hadi Masasi, Njoo Lindi mjini umekosa wa Mmwela wenzako kweli?? Wamakua pia! Maana wewe Mmwela inabidi upate watu wa Coast Region! Ukienda Kanda ya Ziwa,Kanda ya Kati,Kanda ya Nyanda za juu kusini,Kanda ya kasikazini na Kanda ya Magharibi ni ngumu sana kua na chemistry! Nawajua sana watu wa Lindi
Umemaliza au bado?
 
Hao unaotafuta ni dada zetu. Matapeli ndio huwa wana majina mengi. Wawe macho.
Hata ukinichafua au ukiwatisha ila kama imeshapangwa na Mwenyezi Mungu kuwa nitampata Mwenza wangu hapa JamiiForums itakuwa hivyo.

Na nitajitahidi sana nikimpata Mwanamke sahihi nikutafute / tukutafute kisha uje umuulize Mhusika kuwa Mimi ni Tapeli kama ulivyoniita / ulivyonishuku hapa.

Mwenyezi Mungu akusamehe sana tu.
 
Yangu ( Degree ) ambayo nimeipatia hapa hapa Bongo / Tanzania naiheshimu na nima Thamani nayo na kama Unaidharau yako basi hayo ni Matakwa yako Mkuu.

Kuwa Kwangu Masikini na kuwa na Changamoto zangu wala hazihusiani na Mimi kuwa na hii Shahada yangu ya Kwanza ya Chuo Kikuu. Kikubwa ni Mimi Kujipanga vyema, Kutokata Tamaa, Kujituma, Kupambana, Kumpata Mwenza wangu, Kumtanguliza Mwenyezi Mungu na huko mbele katika Suala zima la Ubunifu wa Kimaisha najua nitaitumia na itanisaidia kwani Elimu haiozi na hata Maarifa nayo hayaozi Kikubwa ni Uhai na Afya njema tu.
Hivi kuna shahada ambayo sio ya chuo kikuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kuna shahada ambayo sio ya chuo kikuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Vyuo vya Kati NTA Level 5 na 6 ( siyo Vyuo Vikuu ) navyo hutoa Shahada nasikitika kwa Upumbavu wako Uliorithishwa na waliokuleta duniani hili hujalijua.

Jambo jepesi tu na la Kitaaluma hulijui japo unajifanya kuwa Umeelimika na una Akili. Mnanichosha Kuwaelimisha na jitahidini sana muwe mnaacha kuwa na Viherehere mkijijua ni Majuha.
 
Una jazba na majibu ya hovyo sana

Nazani umechanganyikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una jazba na majibu ya hovyo sana

Nazani umechanganyikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ningechanganyikiwa ningeweza Kukuelimisha na Kuthibitisha Upumbavu wako Uliorithishwa na waliokuleta duniani?

Sasa kama hujui tu kuwa hata Vyuo vya Kati ( siyo Vyuo Vikuu ) vya NTA Level 5 na 6 na vyenyewe pia Kitaaluma vinatoa Shahada na Wewe ulikariri tu Shahada zinatolewa na Vyuo Vikuu nikikuita Mpumbavu ( japo Mwenyewe unajifanya Umeelimika na una Akili ) nitakuwa nakosea?
 
Hayo ya walionileta duniani yanaingiaje hapa?

Mbona ni mtu mzima usiejielewa wewe
Kweli wewe ni mpumbavu na mjinga wa kiwango cha reli ya SGR

Yaani watu maisha yakiwapiga mnawehuka kabisa
Lijitu zima hovyo na hopeless kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom