- Thread starter
- #41
Wewe Changamoto zangu unazijua? Wakuu nimeleta Mada ili nimpate nimtakae na siyo Kuhojiana au Kung'ang'ania Mambo ambayo naona kwa sasa hayana Umuhimu.Kaka yangu tatizo lako si umasikini ulio nao bali ni changamoto ulizo zipitia ndio zimekufanya uamini hivyo kwamba umasikini umasikini sasa nakuambia nyenyuka futa magoti ndende yalio pita yamepita
Kama unajua Wewe labda ni Mwanaume au Uzi huu haukufai tafadhali ni vyema ukakaa tu kimya na uwaache wenye nia na Kuhitaji waweze Kuwasiliana nami.
Acheni Kuniharibia huu Uzi wangu kwa Kukazania tu Mimi kusema ni Masikini na nina Changamoto.