Nahitaji Mwanamke mwenye Umasikini kama wangu ili tupendane Kidhati na tushirikiane Kuinuka Kimaisha

msaidieni mwanaume mwenzenu, hali mbaya sana kwa kina adela
Ingependeza zaidi Wanawake Wenzako hapa wakaanza Kukusaidia Mpumbavu na Mwendawazimu Wewe unayehangaika Kujipendekeza kwa Mwanaume nisiyekutaka katika huu Uzi wangu.

Cc: That Gentleman
 
Pata chai kwanza uwe na nguvu ya kuchart au ndo deshi mpaka mchana ?
Kwakuwa na Umasikini wangu mkubwa huu na Changamoto zangu nyingi za Kimaisha huwa nakunywa Chai Kwako na Chakula nitafanya hivyo sawa? Je, una lingine tena Wewe Mpumbavu na Mwendawazimu?

Cc: That Gentleman
 
Ingependeza zaidi Wanawake Wenzako hapa wakaanza Kukusaidia Mpumbavu na Mwendawazimu Wewe unayehangaika Kujipendekeza kwa Mwanaume nisiyekutaka katika huu Uzi wangu.

Cc: That Gentleman
mimi mbona mapema tu nmejua hufai kaka, mi na mwanaume anayejiita masikini wap na wap aisee. Nikichelewa kurud ulie nakunyanyasa kisa maskini woii🤣🤣🤣🤣
 
Kwakuwa na Umasikini wangu mkubwa huu na Changamoto zangu nyingi za Kimaisha huwa nakunywa Chai Kwako na Chakula nitafanya hivyo sawa? Je, una lingine tena Wewe Mpumbavu na Mwendawazimu?

Cc: That Gentleman
weka akaunti namba au namba ya simu tukuchangie upunguze hasira
 
nipo teyari weka namba zako za simo
 
mimi mbona mapema tu nmejua hufai kaka, mi na mwanaume anayejiita masikini wap na wap aisee. Nikichelewa kurud ulie nakunyanyasa kisa maskini woii🤣🤣🤣🤣
Kwani kuna mahala popote pale uliona Mimi nimesema nakutaka Mwanamke Tajiri ila Pumbavu na Mwendawazimu kama Wewe?
 
weka akaunti namba au namba ya simu tukuchangie upunguze hasira
Masikini kama Mimi naweza kweli kuwa na Akaunti Namba? Kuhusu Hasira huwa nakuwa nazo hasa pale nikikutana na Nitwits and Mental kama Wewe.
 
Mkuu nikushauri tu katika maisha yako chukia sana umasikini, wala usiukumbatie wala uisone ni sifa kujitambulisha wala kujiona mnyonge ukachikulia ni jambo la kawaida ...utateseka sana .

Jaribu kutafuta mtu mwenye maengo na ndoto zakufanikiwa kama wewe, na uchunguze kujuwa kama ana mapenzi ya dhati.!

Achana na sifa za umasikini au unyonge...utataabika maisha yako yote ukiiendekeza hiyo mentality ikutawale.

Anza kuona mafanikio kwenye maisha yako ... kwa juhufi zako utafanikiwa
 
Kuna mahala popote pale nimesema naukumbatia na naupenda Umasikini kiasi kwamba najivunia nao hapa JamiiForums?

Mpuuzi mkubwa Wewe acha kunipotezea muda na hizi Pumba zako na Kukurupuka Kwako katika huu Uzi ambao nina uhakika hujausoma vizuri na Kuuelewa au hata Kunielewa nami pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…