Nahitaji mwanamke wa kuanza nae maisha. Awe na miaka kuanzia 28

Nahitaji mwanamke wa kuanza nae maisha. Awe na miaka kuanzia 28

Write your reply...
NASUBIRI HATIMA YA HAYA MAZUNGUMZO..
UKIWA NA AKILI SINGLE MOTHER NI WAZURI SANA, LAKINI VILE VILE UKIWA NA AKILI SINGLE MOTHER WANA UPUMBAVU FULANI HIVI?
HIVO INATEGEMEANA UNA AKILI KIVIPI..
KUNA SINGLE MOTHER HUMU?
 
Binafsi inawezekana kumpenda mtu ambaye sijawahi kumuona...hasa hapa JF kupitia michango/maoni ya mtu fulani hapa jukwaani

Hata hivyo,hawa wanaoweka mabandiko ya kutafuta wapenzi si huwa wanaishia kuonana?
Kama ni hivyo sawa ila siamini sana relationship inayoanza kwa mtindo huo kwasababu nyingi zinafeli.
 
Kama ni hivyo sawa ila siamini sana relationship inayoanza kwa mtindo huo kwasababu nyingi zinafeli.

Mie naamini mahusiano yana kufeli kokote kule mtakapokutana
Kuna watu wanakutana mazingira mazuri ya kuanzisha mahusiano lakini hayadumu na kinyume chake
 
Mie naamini mahusiano yana kufeli kokote kule mtakapokutana
Kuna watu wanakutana mazingira mazuri ya kuanzisha mahusiano lakini hayadumu na kinyume chake
Sema Mahusiano nayo yana vitu vingi sana ndani yake. All in all ni kupata mtu sahihi tu.
 
Hivi nyie huwa mnakosaje wanawake wa kuwatongoza huko mitaani hadi mje muweke matangazo humu..?
Wanawake siku hizi mpaka wanatongoza huko mtaani, sasa sijui mna shida gani wenzetu..? 😂😂
 
Back
Top Bottom