KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
Kama ni hivyo sawa ila siamini sana relationship inayoanza kwa mtindo huo kwasababu nyingi zinafeli.Binafsi inawezekana kumpenda mtu ambaye sijawahi kumuona...hasa hapa JF kupitia michango/maoni ya mtu fulani hapa jukwaani
Hata hivyo,hawa wanaoweka mabandiko ya kutafuta wapenzi si huwa wanaishia kuonana?
Kama ni hivyo sawa ila siamini sana relationship inayoanza kwa mtindo huo kwasababu nyingi zinafeli.
Sema Mahusiano nayo yana vitu vingi sana ndani yake. All in all ni kupata mtu sahihi tu.Mie naamini mahusiano yana kufeli kokote kule mtakapokutana
Kuna watu wanakutana mazingira mazuri ya kuanzisha mahusiano lakini hayadumu na kinyume chake
Yeah,sureSema Mahusiano nayo yana vitu vingi sana ndani yake. All in all ni kupata mtu sahihi tu.
Amen Allah amjaalie apate amtakaye