Tushfutshtar
Senior Member
- Dec 30, 2017
- 117
- 112
Hello
Bila shaka mko poa!
Kama headline inavosomeka, natafuta mwanamke wa KUANZISHA nae mahusiano ya kimapenzi kwa lengo la kuja kuoana na kuishi pamoja!
Umri : 28
Mwanachuo mwaka wa tatu (mwisho) ngazi ya degree
Rangi : MAJI ya kunde
Urefu: sipungui ft 5
Inje na shuke : Mjasiriamali
Umbo : sio menene wala mwembamba ni size ya kati
Dini : Mkristo
Kabila : Mkerewe
Mambo mengine tutateta PM kwa atakae kuwa tyr!
Napenda mwanamke wa aina hii
Sifa kuu: asiwe anatamani kuanzisha mahusiano (kuolewa) bali awe tayari kuanzisha mahusiano (kuolewa)
Umri : 18-25
Rangi: MAJI ya kunde au mweupe
Urefu : asipungue futi 4.5
Awe anaweza kujishughurisha na kazi (kujiajiri au mwajiriwa)
Elimu : kuanzia form 4 hadi degree
Dini : Mkristo
Kabila : sibagui
By then mengine tutaongea
Kumbuka: NI MWANAMKE WA KUANZISHA NAE MAHUSIANO (TUPEANE MDA WA KUSOMANA VIZURI)
Nawasilisha!