Nahitaji mwanamke wa "kuanzisha" nae mahusiano

Tushfutshtar

Senior Member
Joined
Dec 30, 2017
Posts
117
Reaction score
112
Hello
Bila shaka mko poa!

Kama headline inavosomeka, natafuta mwanamke wa KUANZISHA nae mahusiano ya kimapenzi kwa lengo la kuja kuoana na kuishi pamoja!

Umri : 28
Mwanachuo mwaka wa tatu (mwisho) ngazi ya degree
Rangi : MAJI ya kunde
Urefu: sipungui ft 5
Inje na shuke : Mjasiriamali
Umbo : sio menene wala mwembamba ni size ya kati
Dini : Mkristo
Kabila : Mkerewe

Mambo mengine tutateta PM kwa atakae kuwa tyr!

Napenda mwanamke wa aina hii
Sifa kuu: asiwe anatamani kuanzisha mahusiano (kuolewa) bali awe tayari kuanzisha mahusiano (kuolewa)
Umri : 18-25
Rangi: MAJI ya kunde au mweupe
Urefu : asipungue futi 4.5
Awe anaweza kujishughurisha na kazi (kujiajiri au mwajiriwa)
Elimu : kuanzia form 4 hadi degree
Dini : Mkristo
Kabila : sibagui

By then mengine tutaongea

Kumbuka: NI MWANAMKE WA KUANZISHA NAE MAHUSIANO (TUPEANE MDA WA KUSOMANA VIZURI)

Nawasilisha!
 
We ni kitomb tu
 
Umeshindwa kusoma shule utaweza kumsoma mwanamke..rubbish
 
Usijifunge akili yako, nani alikwambia kuna uhusiano wa shule na mwanamke!

Falacy point
Akili yako ni kama mbwa koko..yaani imefanana na id yako..umekosa mwanamke ulipokuwa chuo, mtaani, msibani, harusin unakuja kulia mtandaoni..

Wewe ni mchafu na hujitambui..rubbish kabisa
 
Huna akili timamu gani kichwa chako ki!mekosa maneno mazuri unaongea upuuzi kama huo, huna akili kabisa ,nani alikwambia huko ulipotaja ndo kuna wanawake wa kuoa au unataka nikuoe wewe njoo basi PM naona una wivu sana

Akili umekunya zote !!!
 
Maisha ya mahusiano ni rahisi sana kuyaishi ikiwa wote MNA malengo chanya ,kwangu kugegedana sio priority kuu!
Mmmh hongera kauli yako itakuwa na ukakasi ili mwanaume amwamini mwanamke lazima amgegede
 
Huna akili timamu gani kichwa chako ki!mekosa maneno mazuri unaongea upuuzi kama huo, huna akili kabisa ,nani alikwambia huko ulipotaja ndo kuna wanawake wa kuoa au unataka nikuoe wewe njoo basi PM naona una wivu sana

Akili umekunya zote !!!
Hahahahaha angalau shemeji mtarajiwa atajua ukikasirika maneno yanayokutoka ni haya
 
Huna akili timamu gani kichwa chako ki!mekosa maneno mazuri unaongea upuuzi kama huo, huna akili kabisa ,nani alikwambia huko ulipotaja ndo kuna wanawake wa kuoa au unataka nikuoe wewe njoo basi PM naona una wivu sana

Akili umekunya zote !!!
Hujui ata kuandika vizuri...sasa sijui mwanamke gani atakukubali wewe

kam hawapatikani uko nilikotaja, nani alikuambia anapatikana kwa bando la internet na bandiko lisiloeleweka??

Unaakili ya sokoni ww!!!empty head kabisa
 
Hahahahaaa haya bhana!
 
Back
Top Bottom