Mwanachama Sahihi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 549
- 185
Nahitaji mwanamke wa kuoa. Awe mcha Mungu umri kuanzia miaka 35 hadi 40 Mwenye bidii ya kufanya kazi na nidhamu ya Pesa. Mengine tuwasiliane inbox. Karibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una umri ganiEeeh!! 35 Tena....?🤣
SawaMkuu,
Wakija wengi nipasie na mimi hata wa tatu.
Kila la kheri mkuu
😜😜😜😅Mshangazi ambaye hujajipata, kuna Mjomba hapa anataka kukusitirii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una miaka mingapi?Umri umenikosesha mume..!
41Una miaka mingapi?
🤣🤣🤣🤣....yeye hana time na TAKO.Kelsea kuna mwanaume huku anataka mke. Njoo ujaribu bahati yako.
Yeye hana time na tako
Bado uko kwenye margin. Karibu