SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Huyo ni malaika tu wa mbinguni humu hakunaSasa kama hana ukimuelewa
Sasa akikuambia sina ukimuelewa na ukawa mvumiilivu hawez kukutupa lakin akikuambia umekwama mtaanza lawama mara ndugu zako unawasaidia mimi hutak una roho mbaya hapo ndip unamvuruga lakin ukimwambia umekwama na yeye akaona hustle zako na ukawa unakaribia kufunga biashara lazima atie nguvu