Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Malipo yapo?Espy: Usiogope, waafrica hatujazoea kubembelezwa ndio maana unapata tashwish unapoona hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malipo yapo?Espy: Usiogope, waafrica hatujazoea kubembelezwa ndio maana unapata tashwish unapoona hivyo
Inategemea na negotion power yako na ni private matters..Malipo yapo?
Wewe changamkia hii fursa adhimu mrembo[emoji38]Mkuu kilo zako ni nyingi mno, una kitambi?
Daka mtumba hahaKumekucha kumekuchaa....
Kitambi cha kufutia simuKidogo Cha kufutia simu Nafanya sana mazoezi
Hamna mkuu. Kilo 80 anaweza asiwe na kitambi. InategemeanaMkuu kilo zako ni nyingi mno, una kitambi?
Hamna mkuu,kilo 80 anaweza asiwe na kitambi kabisa. Inategemeana. We muwahi tu kabla hamjamchangamkiaMkuu kilo zako ni nyingi mno, una kitambi?
Mnachochea ee?Wewe changamkia hii fursa adhimu mrembo[emoji38]
Hiari yako tuMnachochea ee?
Kilo 80 si nyingi kiviiile.. Ila shida kwa kimo chake na hizo kilo 80, inafikirisha kidogo..Mkuu kilo zako ni nyingi mno, una kitambi?
Hakai yeye juu, utakaa wewe, usiogope uzito wake[emoji23][emoji1787]Ha haa hamna tatizo. Nilikuwa nalinganisha urefu wake na uzito
Muonekano una-matter ,kumbuka plan hapa ni kuzaa watoto tusije tukawaharibuHakai yeye juu, utakaa wewe, usiogope uzito wake[emoji23][emoji1787]
Na mie nilitazama hapo kwenye kilo na urefuKilo 80 si nyingi kiviiile.. Ila shida kwa kimo chake na hizo kilo 80, inafikirisha kidogo..
Ila kisiwe kikwazo naimani anaweza kuikwea mbususu vizuri tu, mtunuku mtoto jamaa.
[emoji2][emoji2][emoji2] [emoji2] mbavu zangu...Mwanamke wa kuzaa nae!? Yaani hapo tayari una mimba, unatafuta wa kwenda nae leba ama..
Writen whaili yuzing marijuana.
Ha ha ha [emoji1787][emoji1787] inaonekana concern yako ni urefu. Hivyo vipimo ni makadirio tu..Na mie nilitazama hapo kwenye kilo na urefu
Ukimpata muoe kisha zaaa naeAmani na iwe nanyi!
Nahitaji mwanamke wa kuzaa nae
Wasifu wangu
1. Umri : Mtu mzima (Matured)40+ Years
2. Urefu: 5.6 Futi
3. Uzito: 80 Kg.
4. Rangi: Maji ya kunde
5. Kazi: Mjasiriamali
6. Elimu Degreee
7. Polite in nature
8. Hobbies Napendelea Kusoma vitabu (Addicted to reading books)
9. I am a family man na ninapenda watoto
10. Makazi: Arusha
Mwanamke ninaemuhitaji
1. Umri: 28 - 34 years
2. Urefu: 4 - 5 Futi
3: Uzito: 60 - 90 Kgs
4. Rangi: Yoyote
5: Kazi: Awe anajishuhulisha
6: Elimu: Kuanzia form 4
7. Awe mpole
8. Apendelee kuongeza ufahamu wake
9.Lazima awe na mtoto si zaidi ya mmoja..
10. Makazi: Arusha au mikoa ya jirani
kwa mawasiliano zaidi jublant@yahoo.com
Tambua kwamba kila email itajibiwa
Karibuni : my sweetheart ur welcom