Unakwama wapiMh, hatari hii
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mtu mwenyewe single mother halafu masharti kibao mara degree nenda kaolewe na UDSM
HAHHAHAHAHHAHAHAA we jamaa magu anakuonaMtu mwenyewe single mother halafu masharti kibao mara degree nenda kaolewe na UDSM
Tusikitike wote mkuuBaada ya kupitia comments zote kwenye huu uzi......
Nimejikuta nahitimisha kwa kusema kwamba, hii sio Jf ile yenye niliijua kitambo.
Jf imebadilika, na watu hawaheshimiani wala kuheshimu mawazo ya wengine kama zamani.
Jf imekua na vijana wajuaji waliopita kipimo cha kawaida, na mbaya zaidi wamekua wakiwanyooshea vidole single mamaz as if wao hawana watu wa aina hiyo kwenye familia zao. Na mbaya zaidi sioni vijana hawa wakiwa tweza single babaz......
Ukweli nimejikuta naishia kusikitika tu
Namsikitikia mleta uzi maana kejeli atazopata hapa, atajutaUnakwama wapi
Aliyetayari kuwa baba wa mwanangu anitafute PM.
SIFA . Awe na umri kati ya miaka 30_45; Akubali mtoto atumie majina yake ata akipenda anaweza mtafutia jina lingine; Elimu kuanzia diploma; awe amejiajiri au kuajiriwa; Awe na yy anamtoto/watoto au kama hana hakuna shida; asiwe mfupi.
SIFA ZANGU. Umri 27; mama wa mtoto 1 wa kike; elimu degree, sio mrefu wala mfupi;
Mkuu, kwa akili za aina hii.....Tusikitike wote mkuu
Hatoi maelezo vizuri anakimbilia kutaja sifa tu, ameniboa, sorry Ushimen.Hujasema baba yake halisi yupo wapi halafu mtu akiamua kumlea mwanao sio lazima mpk abadili na jina unakuwa unamnyima mtoto wako haki zake.
Ni muhimu mtoto ajue mzazi wake halisi especially kama yupo hai. Wanawake sijui mnakuwa na roho gani wakati mwingine
Aiseeeee. Ngoja tuone. Ila kuoa Single mother hapana labda aje dealth certificate ya mme wake. Tofauti na hapo hapanaNamsikitikia mleta uzi maana kejeli atazopata hapa, atajuta
Njoo kwangu mkuu!Aliyetayari kuwa baba wa mwanangu anitafute PM.
SIFA . Awe na umri kati ya miaka 30_45; Akubali mtoto atumie majina yake ata akipenda anaweza mtafutia jina lingine; Elimu kuanzia diploma; awe amejiajiri au kuajiriwa; Awe na yy anamtoto/watoto au kama hana hakuna shida; asiwe mfupi.
SIFA ZANGU. Umri 27; mama wa mtoto 1 wa kike; elimu degree, sio mrefu wala mfupi;
Oa wangoni wenzio usihangaike na wanawake wa darMie ni 26 naitaji uwe Mke wangu sema niko songea ruvuma mie ni mission town pia ticket master
Aliyetayari kuwa baba wa mwanangu anitafute PM.
SIFA . Awe na umri kati ya miaka 30_45; Akubali mtoto atumie majina yake ata akipenda anaweza mtafutia jina lingine; Elimu kuanzia diploma; awe amejiajiri au kuajiriwa; Awe na yy anamtoto/watoto au kama hana hakuna shida; asiwe mfupi.
SIFA ZANGU. Umri 27; mama wa mtoto 1 wa kike; elimu degree, sio mrefu wala mfupi;
Wangoni wanatabia mbaya kama vipi bora nikaoe home simiyu ila naitaji nimuoe mwanamke ambaye anajielewa kama huyuOa wangoni wenzio usihangaike na wanawake wa dar
Mkuu hawa ni under 28, un mature, ambao kwa sasa ndio wamejaa humu jf. A real gentleman hawez koment pumba kama hz. Hata kama hupendi single mother just keep it to urself sio kum criticize mleta mada. A real gents anachuja cha kuongea, anajua hapa niongee nini na nini nisiongee.Mkuu, kwa akili za aina hii.....
Ni vijana hawa hawa ndio kila kukicha hawachelei kuleta nyuzi za malalamiko kwamba mnawafungia ama hamjibu messages zao huko PM...[emoji55] [emoji55] [emoji55]
Na nihawa vijana ndio hawaishi kuja humu kila kukicha na wakiomba tuwafundishe kuzoza.
Wangoni wanatabia mbaya kama vipi bora nikaoe home simiyu ila naitaji nimuoe mwanamke ambaye anajielewa kama huyu