Nahitaji mwanangu apate malezi ya baba

Nahitaji mwanangu apate malezi ya baba

Baada ya kupitia comments zote kwenye huu uzi......
Nimejikuta nahitimisha kwa kusema kwamba, hii sio Jf ile yenye niliijua kitambo.
Jf imebadilika, na watu hawaheshimiani wala kuheshimu mawazo ya wengine kama zamani.
Jf imekua na vijana wajuaji waliopita kipimo cha kawaida, na mbaya zaidi wamekua wakiwanyooshea vidole single mamaz as if wao hawana watu wa aina hiyo kwenye familia zao. Na mbaya zaidi sioni vijana hawa wakiwa tweza single babaz......
Ukweli nimejikuta naishia kusikitika tu
 
Tusikitike wote mkuu
 
Hivi aliewaambia kuwa suala hilo unaweka sifa na vigezo kama unatangaza nafasi za kazi ni nani? Mnakera sasa!
 
Mbona hujasema kuwa wewe wafanyakaz gan, au umejiajiri
Aliyetayari kuwa baba wa mwanangu anitafute PM.
SIFA . Awe na umri kati ya miaka 30_45; Akubali mtoto atumie majina yake ata akipenda anaweza mtafutia jina lingine; Elimu kuanzia diploma; awe amejiajiri au kuajiriwa; Awe na yy anamtoto/watoto au kama hana hakuna shida; asiwe mfupi.
SIFA ZANGU. Umri 27; mama wa mtoto 1 wa kike; elimu degree, sio mrefu wala mfupi;
 
Mie ni 26 naitaji uwe Mke wangu sema niko songea ruvuma mie ni mission town pia ticket master
 
Tusikitike wote mkuu
Mkuu, kwa akili za aina hii.....
Ni vijana hawa hawa ndio kila kukicha hawachelei kuleta nyuzi za malalamiko kwamba mnawafungia ama hamjibu messages zao huko PM...[emoji55] [emoji55] [emoji55]
Na nihawa vijana ndio hawaishi kuja humu kila kukicha na wakiomba tuwafundishe kuzoza.
 
Hujasema baba yake halisi yupo wapi halafu mtu akiamua kumlea mwanao sio lazima mpk abadili na jina unakuwa unamnyima mtoto wako haki zake.

Ni muhimu mtoto ajue mzazi wake halisi especially kama yupo hai. Wanawake sijui mnakuwa na roho gani wakati mwingine
Hatoi maelezo vizuri anakimbilia kutaja sifa tu, ameniboa, sorry Ushimen.
 
Aliyetayari kuwa baba wa mwanangu anitafute PM.
SIFA . Awe na umri kati ya miaka 30_45; Akubali mtoto atumie majina yake ata akipenda anaweza mtafutia jina lingine; Elimu kuanzia diploma; awe amejiajiri au kuajiriwa; Awe na yy anamtoto/watoto au kama hana hakuna shida; asiwe mfupi.
SIFA ZANGU. Umri 27; mama wa mtoto 1 wa kike; elimu degree, sio mrefu wala mfupi;
Njoo kwangu mkuu!
 
Mhhhhh
Aliyetayari kuwa baba wa mwanangu anitafute PM.
SIFA . Awe na umri kati ya miaka 30_45; Akubali mtoto atumie majina yake ata akipenda anaweza mtafutia jina lingine; Elimu kuanzia diploma; awe amejiajiri au kuajiriwa; Awe na yy anamtoto/watoto au kama hana hakuna shida; asiwe mfupi.
SIFA ZANGU. Umri 27; mama wa mtoto 1 wa kike; elimu degree, sio mrefu wala mfupi;
 
Mkuu, kwa akili za aina hii.....
Ni vijana hawa hawa ndio kila kukicha hawachelei kuleta nyuzi za malalamiko kwamba mnawafungia ama hamjibu messages zao huko PM...[emoji55] [emoji55] [emoji55]
Na nihawa vijana ndio hawaishi kuja humu kila kukicha na wakiomba tuwafundishe kuzoza.
Mkuu hawa ni under 28, un mature, ambao kwa sasa ndio wamejaa humu jf. A real gentleman hawez koment pumba kama hz. Hata kama hupendi single mother just keep it to urself sio kum criticize mleta mada. A real gents anachuja cha kuongea, anajua hapa niongee nini na nini nisiongee.

Wacha niishie hapa mkuu
 
Mbona unakuwa mkatili hivyo? Yaani unataka kumdhurumu mtoto haki yake ya baba yake wa kweli?
 
Hatoi maelezo vizuri anakimbilia kutaja sifa tu, ameniboa, sorry Ushimen.
Muulize tu polepole mkuu, unajua hawa wamama tulikabidhiwa tuishinao kwa akili....
Na, usisahau kamba hakuna bofolo ngumu kwa sitrungi.....tehteehh
 
Back
Top Bottom