Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Baada ya kupitia comments zote kwenye huu uzi......
Nimejikuta nahitimisha kwa kusema kwamba, hii sio Jf ile yenye niliijua kitambo.
Jf imebadilika, na watu hawaheshimiani wala kuheshimu mawazo ya wengine kama zamani.
Jf imekua na vijana wajuaji waliopita kipimo cha kawaida, na mbaya zaidi wamekua wakiwanyooshea vidole single mamaz as if wao hawana watu wa aina hiyo kwenye familia zao. Na mbaya zaidi sioni vijana hawa wakiwa tweza single babaz......
Ukweli nimejikuta naishia kusikitika tu