Nahitaji mwanangu apate malezi ya baba

Nina hakika kuna kundi la watu limeandaliwa kubadili mwelekeo halisi wa dhamira ya Jf na kulifanya jukwaa liwe la wahuni na wasiostaarabika.Lengo kuwachosha wenye misimamo ya kisiasa na wale wachambuzi wa siasa na tawala za mataifa.

Nina hakika huu ni muda wa ilo kundi/kikundi kukamilisha mapinduzi dhidi ya JF

Km uongozi wa Jf hautozingatia ili,muda si mrefu tutashuhudia anguko la maadili na umbea na mada za Mapenzi na lifestyle ndio itakua msingi wake mpya.
 
[emoji121]
 
Saiv ni mapenz tu kaka siasa tumewaachia akina ney wa mitego
 
Reactions: MC7
Kumbe mkuu unakuwaga serious muda mwingine hongera sana
 
Kumbe mkuu unakuwaga serious muda mwingine hongera sana
Duhhh.....
Pamoja na mshangao kidogo, ebu kwanza naomba niseme asante..... Kabla sijaambatanisha na swali.
Kwanini umejishangaza, na kisha kuuliza kama kuna wakati ninakuwa na comments/mawazo ama maoni chanya...!!??
 
Baba yake yuko wapi? mwanzo unaweza kuwa mzuri,ila mwisho unaweza kuwa mbaya....
 
Nicheki PM kama kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…