Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Naona baba halisi wa Mtoto hajitambui anatafutwa wa hiari tuAna mtoto tayari anataka uwe baba wa huyo mtoto![emoji30][emoji30][emoji30]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona baba halisi wa Mtoto hajitambui anatafutwa wa hiari tuAna mtoto tayari anataka uwe baba wa huyo mtoto![emoji30][emoji30][emoji30]
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Unataka akuoe au akupe mimba na mtoto ukae naye!!?
Nina hakika kuna kundi la watu limeandaliwa kubadili mwelekeo halisi wa dhamira ya Jf na kulifanya jukwaa liwe la wahuni na wasiostaarabika.Lengo kuwachosha wenye misimamo ya kisiasa na wale wachambuzi wa siasa na tawala za mataifa.Baada ya kupitia comments zote kwenye huu uzi......
Nimejikuta nahitimisha kwa kusema kwamba, hii sio Jf ile yenye niliijua kitambo.
Jf imebadilika, na watu hawaheshimiani wala kuheshimu mawazo ya wengine kama zamani.
Jf imekua na vijana wajuaji waliopita kipimo cha kawaida, na mbaya zaidi wamekua wakiwanyooshea vidole single mamaz as if wao hawana watu wa aina hiyo kwenye familia zao. Na mbaya zaidi sioni vijana hawa wakiwa tweza single babaz......
Ukweli nimejikuta naishia kusikitika tu
[emoji121]Aliyetayari kuwa baba wa mwanangu anitafute PM.
SIFA . Awe na umri kati ya miaka 30_45; Akubali mtoto atumie majina yake ata akipenda anaweza mtafutia jina lingine; Elimu kuanzia diploma; awe amejiajiri au kuajiriwa; Awe na yy anamtoto/watoto au kama hana hakuna shida; asiwe mfupi.
SIFA ZANGU. Umri 27; mama wa mtoto 1 wa kike; elimu degree, sio mrefu wala mfupi;
Saiv ni mapenz tu kaka siasa tumewaachia akina ney wa mitegoNina hakika kuna kundi la watu limeandaliwa kubadili mwelekeo halisi wa dhamira ya Jf na kulifanya jukwaa liwe la wahuni na wasiostaarabika.Lengo kuwachosha wenye misimamo ya kisiasa na wale wachambuzi wa siasa na tawala za mataifa.
Nina hakika huu ni muda wa ilo kundi/kikundi kukamilisha mapinduzi dhidi ya JF
Km uongozi wa Jf hautozingatia ili,muda si mrefu tutashuhudia anguko la maadili na umbea na mada za Mapenzi na lifestyle ndio itakua msingi wake mpya.
Kumbe mkuu unakuwaga serious muda mwingine hongera sanaBaada ya kupitia comments zote kwenye huu uzi......
Nimejikuta nahitimisha kwa kusema kwamba, hii sio Jf ile yenye niliijua kitambo.
Jf imebadilika, na watu hawaheshimiani wala kuheshimu mawazo ya wengine kama zamani.
Jf imekua na vijana wajuaji waliopita kipimo cha kawaida, na mbaya zaidi wamekua wakiwanyooshea vidole single mamaz as if wao hawana watu wa aina hiyo kwenye familia zao. Na mbaya zaidi sioni vijana hawa wakiwa tweza single babaz......
Ukweli nimejikuta naishia kusikitika tu
Haaahahahah post zako zinathibitisha!Saiv ni mapenz tu kaka siasa tumewaachia akina ney wa mitego
Ndiyo mkuu![emoji30][emoji30][emoji30]Ubaba wa hiari siyo ?
Kwani single mother hawana haki ?Mtu mwenyewe single mother halafu masharti kibao mara degree nenda kaolewe na UDSM
Vigezo ndio tatizo.Wewe hutaki kuwa baba wa mwanae?[emoji848]
MkuuNamsikitikia mleta uzi maana kejeli atazopata hapa, atajuta
Mkuu
fanya mpango umchukue
Duhhh.....Kumbe mkuu unakuwaga serious muda mwingine hongera sana
Nicheki PM kama kweliAliyetayari kuwa baba wa mwanangu anitafute PM.