nahisiPole sana. Unaweza kuelekeza kidogo kipi kumepelekea kuwa kwenye hiyo hali?
Pole jaribu kutafuta kwanza marafiki zake uongee nao uone kama na wao kawachukia kama hapana basi hao marafiki ndiyo utatumia kuongea nao ili wampe msaada wa kimawazo.nahisi
either anaumwa hataki tujue au ana stress sasa hali ya kuwa mkali hataki tumsogelee nimeshindwa hata pakuanzia kumuuliza au kumchunguza. ndo maana nkataka nipate walau teknic za kumuingia step by step mpaka nifanikiwe kujua tatizo lake.
kiukweli ni mkalii mno.
upendo utauoneshaje wakati ni mkali hasogeleki? ndo maana nalia na wanasaikolojia wanisaidie teknic za kufanikiwa kumuingia nijue tatizo.muonyeshe upendo mfanye akuzoee kisha
ningumu kumsaidia endapo tatizo lake alijulikani
pain can make you stronger or stupid
hawasiliani na marafiki zake ni mda.Pole jaribu kutafuta kwanza marafiki zake uongee nao uone kama na wao kawachukia kama hapana basi hao marafiki ndiyo utatumia kuongea nao ili wampe msaada wa kimawazo.
Usilazimishe akwambie wewe tumia watu wake wa karibu ujue kwanza tatizo lake.
jina nimelisahau mkuunisaidie kumtag mkuu
Ana familia ni mwanaume au mwanamke?hawasiliani na marafiki zake ni mda.
anashinda nyumbani 24/7??mkuu tumuache km ana stress akikaa mwenyewe na hali hiyo si atafikia hatua ya kwenda mirembe?
serious problemkuna mda hata kazini haendi
Umeshampatakabisa