Nahitaji mwanasheria mbobezi

Nahitaji mwanasheria mbobezi

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,391
Reaction score
3,849
Wana jamvi, nahitaji mwanasheria tutagawana mapato, kuna kampuni nahitaji kuipeleka mahakamani wanilipe fidia sasa sina pesa za kumlipa mwamasheria ila tutakula wote kitakacho lipwa.
 
Unacho kiitaji ni misconduct kwa wakili kukifanya na ni marufuku ( contingency fees )
 
Labda upate Hawa mawakili wa mchongo

Hilo misconduct utashindwa mapema
 
Back
Top Bottom