Unayemtaka asipokutongoza ?Hivi katika hali ya kawaida, inakuaje mwanamke anatafuta Mchumba tena kwa mtandao.
Mi najua wanawake ni watu wa kutongozwa, husubiri wanaume waje wawatongoze kisha wao wenyewe kwa utashi wao wachague mwanaume wanayemtaka katika hao.
Humu ndani/jf pia hatutaki vianduje, so katafute mtaani warefu wa huko...!Kuwa mfupi sio ulemavu so haimanishi kuwa nishindwe kuchagua yule nimtakaye