Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tupiamo tupicha, eleza kama wewe au familia yako haina magonjwa na kuridhi kama vile kifafa, kisukari, sickle cells, saratani, albinism. Pia eleza kuhusu blood group lako na kabila lako pia.Habari wanafamilia wa jf
Mwaka unaisha sasa umri wakuwa na familia umefika..nahitaji kuwa na mahusiano yatakayo pelekea ndoa hatimaye familia.
Umri wangu 28yrs
Elimu bachelor's
Mfupi, maji ya kunde
Nimeajiriwa
Mwanaume ninaye wsh kuwa naye
Umri 30-37yrs,
elimu kuanzia form 6 na kuendelea,
awe mkristo
kabila lolote,
rangi yoyote
ila asiwe mfupi,
Aliyeajiriwa au kajiajiri
Asiwe mlevi
Asiyetumia bangi wala sigara
Am serious mwenye kigezo anakaribishwa pm..
Angalizo: Sipendi dharau ukiona bandiko halikuhusu pita kimya kmya.
Merry chrismass and happy new year..[emoji268]
Yaani ana miaka 28 we ndio unata urafiki. Mpaka amuoe si atakuwa ashafika menopause?
Pole sana utampata ila utasubili kiasi [emoji174] [emoji174] [emoji174] [emoji174]Habari wanafamilia wa jf
Mwaka unaisha sasa umri wakuwa na familia umefika..nahitaji kuwa na mahusiano yatakayo pelekea ndoa hatimaye familia.
Umri wangu 28yrs
Elimu bachelor's
Mfupi, maji ya kunde
Nimeajiriwa
Mwanaume ninaye wsh kuwa naye
Umri 30-37yrs,
elimu kuanzia form 6 na kuendelea,
awe mkristo
kabila lolote,
rangi yoyote
ila asiwe mfupi,
Aliyeajiriwa au kajiajiri
Asiwe mlevi
Asiyetumia bangi wala sigara
Am serious mwenye kigezo anakaribishwa pm..
Angalizo: Sipendi dharau ukiona bandiko halikuhusu pita kimya kmya.
Merry chrismass and happy new year..[emoji268]
Yuko sahihi kutafuta mrefu kidogo ili watoto wasibaki kuwa wafupi wote. Hata hivyo kama wewe ni mfupi sana chini 150cm usipendelee warefu sana au watu wenye miili mikubwa kama wasukuma, wanyakyusa kuepuka kuzaa kwa operationsSiyo choice vipi wakati wewe mwenyewe ni mfupi?
Kama upo tayari miaka 40 ni checkHabari wanafamilia wa jf
Mwaka unaisha sasa umri wakuwa na familia umefika..nahitaji kuwa na mahusiano yatakayo pelekea ndoa hatimaye familia.
Umri wangu 28yrs
Elimu bachelor's
Mfupi, maji ya kunde
Nimeajiriwa
Mwanaume ninaye wsh kuwa naye
Umri 30-37yrs,
elimu kuanzia form 6 na kuendelea,
awe mkristo
kabila lolote,
rangi yoyote
ila asiwe mfupi,
Aliyeajiriwa au kajiajiri
Asiwe mlevi
Asiyetumia bangi wala sigara
Am serious mwenye kigezo anakaribishwa pm..
Angalizo: Sipendi dharau ukiona bandiko halikuhusu pita kimya kmya.
Merry chrismass and happy new year..[emoji268]
Acha matusi wewe. Ukitaka kujifunza lazima uwe mvumilivu....
Kwani hujui mambo yote machafu yamo kwenye biblia? Huna habari? Kwa taarifa mchawi wa kwanza duniani alikuwa mkristo....ugaidi mkubwa kuwahi kupata kutokea umefanywa na mkristo.....
Mtu aliyeoa wanawake wengi kuliko binadamu wote ametajwa kwenye biblia....
Nabii muuaji kuliko wote duniani ametajwa kwenye biblia na leo hii watu wanamtukuza sana....
Malaya na wazinzi wote ni waktisto....
Maandiko yako wazi......
Sasa nakushangaa andiko la wake wanne linakupanikisha mpaka unamwaga mitusi...
Hayo mauchafu mwngine yaliyofanywa na wakristo huyaoni kwenye biblia? Huwa unaisomaje?
We vipi? Soma maandiko acha hasira...
Tandika utembee al akhyMwanamke kafiri wa kazi gani babu.
Atakutia nuksi buree!!
Ma-ukhty wa kiislam warembo wenye kujisitiri kibao wamejazana.
Mmh kuelekea mwisho wa mwaka tutasikia mengi sana aisee imebidi nicheke tuMe nahitaji mke nina miaka 44 navuta sigara Halafu napenda kushiriki tendo la ndoa kila baada ya masaa 6. Utaniweza [emoji23] [emoji1]
Kazana kusoma the road to better things are infront there[emoji23]Shusheni miaka kidogo basi... Ili na sisi wenye 17 tupate chance jamani
[emoji23][emoji23]ila we jamaa ni mkorofi sanaHuu nao ni ubaguzi! Kwa nini uweke bandiko lisilowahusu watu wengine?
Kusoma kutafuta heshimaKazana kusoma the road to better things are infront there[emoji23]
Mungu atakusaidia utampata umpendaeHabari wanafamilia wa jf
Mwaka unaisha sasa umri wakuwa na familia umefika..nahitaji kuwa na mahusiano yatakayo pelekea ndoa hatimaye familia.
Umri wangu 28yrs
Elimu bachelor's
Mfupi, maji ya kunde
Nimeajiriwa
Mwanaume ninaye wsh kuwa naye
Umri 30-37yrs,
elimu kuanzia form 6 na kuendelea,
awe mkristo
kabila lolote,
rangi yoyote
ila asiwe mfupi,
Aliyeajiriwa au kajiajiri
Asiwe mlevi
Asiyetumia bangi wala sigara
Am serious mwenye kigezo anakaribishwa pm..
Angalizo: Sipendi dharau ukiona bandiko halikuhusu pita kimya kmya.
Merry chrismass and happy new year..[emoji268]
Shule imemfanya acheleweMy god miaka 28 bado single. Humu mwetu miaka hiyo binti ameshadumu kwenye ndoa zaidi ya miaka 10