Nahitaji mwanaume atakayekuwa mume wangu

bgshyn

Member
Joined
Feb 11, 2017
Posts
38
Reaction score
21
Mimi ni mwanamke wa miaka 29 nimeamua kuja jukwaani kutoa hitaji langu la moyo, kwa yeyote mwenye mapenzi ya dhati karibu sana, nipo mkoa wa Mwanza, ningefurahi kama ningepata mwanaume wa Mwanza, mimi ni mrefu kiasi, chocolate, mkristo na ni mwajiriwa serikalini.

Ni PM tuzingumze, kama haupo na lengo jitahidi kupita tu.

Asanteni
 
mimi n mwanamke wa miaka 29 nmeamua kuja jukwaani kutoa hitaji langu la moyo,kwa yeyote mwenye mapenzi ya dhati karibu sana.nipo mkoa wa mwanza,nngefurahi kama nngepata mt wa mwanza,mimi n mrefu kiasi,choklet,mkristo na n mwajiriwa serikalin,ni PM tuzngumze kama haupo na lengo jitahidi kupita tu ,asanteni
rejea uzi wangu natafuta mke sina masharti yoyote!
 
mimi n mwanamke wa miaka 29 nmeamua kuja jukwaani kutoa hitaji langu la moyo,kwa yeyote mwenye mapenzi ya dhati karibu sana.nipo mkoa wa mwanza,nngefurahi kama nngepata mt wa mwanza,mimi n mrefu kiasi,choklet,mkristo na n mwajiriwa serikalin,ni PM tuzngumze kama haupo na lengo jitahidi kupita tu ,asanteni
Kigezo cha mtu kuwa mwanza kimenitoa njiani

By the way nilikuhitaji sana kwani unaonekana mwanamke uliye sirious na maisha, tatizo mimi siko mwanza niwe muwazi nimeyaona matangazo mengi kama haya, lakini hili limenigusa

Niko mbali na bahati mbaya kabila hasimu na wewe, mi ni muha wa kigoma, kama hutojari utani pm angalau unipe interview[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
poa
 
ustaarabu kwani nimekuudhi wapi???..... suala la kuulizia kuhusu chura kwa sisi wanaume ni suala la kawaida kabisa kama ninyi mnavyopenda wanaume warefu,wenye vifua vipana, wenye misuli e.t.c!!
ubarkiwe,asante
 
Back
Top Bottom