Nahitaji mwanaume atakayekuwa mume wangu

Naona karibu wote wanaotafuta waume humu ni new member, sijui kama wanajisajili kwa ajili ya kusaka bakora !!
Kuna reason moja kati ya hizi
1.wako kwenye special assignment
2.hawajiamini kutumia ID zao za zamani.
 
mimi n mwanamke wa miaka 29 nmeamua kuja jukwaani kutoa hitaji langu la moyo,kwa yeyote mwenye mapenzi ya dhati karibu sana.nipo mkoa wa mwanza,nngefurahi kama nngepata mt wa mwanza,mimi n mrefu kiasi,choklet,mkristo na n mwajiriwa serikalin,ni PM tuzngumze kama haupo na lengo jitahidi kupita tu ,asanteni
Kuhusu dini na umri Wa mme unayemtaka vp? au NIseme wasifu Wa mume mtarajiwa unataka uwe Vp?
 
mimi n mwanamke wa miaka 29 nmeamua kuja jukwaani kutoa hitaji langu la moyo,kwa yeyote mwenye mapenzi ya dhati karibu sana.nipo mkoa wa mwanza,nngefurahi kama nngepata mt wa mwanza,mimi n mrefu kiasi,choklet,mkristo na n mwajiriwa serikalin,ni PM tuzngumze kama haupo na lengo jitahidi kupita tu ,asanteni
Toa number yko
 
Wakati mwingine watu kama nyie naimbaga hivi.....

Msichana wa sura nzuriii,
Kitu gani kimekufanya Usiolewe,
Elimu unayo yakutosha,
hata ng'ambo ukaenda ukarudi.

Miaka yaenda Mbio sanaaa,
Na sura yako yazidi chuchukaaa
Ona watoto wa Nyuma yako,
wameolewa wamekuacha...
 
mimi n mwanamke wa miaka 29 nmeamua kuja jukwaani kutoa hitaji langu la moyo,kwa yeyote mwenye mapenzi ya dhati karibu sana.nipo mkoa wa mwanza,nngefurahi kama nngepata mt wa mwanza,mimi n mrefu kiasi,choklet,mkristo na n mwajiriwa serikalin,ni PM tuzngumze kama haupo na lengo jitahidi kupita tu ,asanteni
N pm tuzungumze mm pm haikubali bado n mgen jamvin
 
mimi n mwanamke wa miaka 29 nmeamua kuja jukwaani kutoa hitaji langu la moyo,kwa yeyote mwenye mapenzi ya dhati karibu sana.nipo mkoa wa mwanza,nngefurahi kama nngepata mt wa mwanza,mimi n mrefu kiasi,choklet,mkristo na n mwajiriwa serikalin,ni PM tuzngumze kama haupo na lengo jitahidi kupita tu ,asanteni
KIMBIA FASTA HAPA MABATINI NIKUKUTE KITUO CHA DALADALA HAPO SASA HIVI NAKUJA
NITAKUTAMBUAJE ?
 
Back
Top Bottom