Nahitaji mwanaume atakayekuwa mume wangu

Nahitaji mwanaume atakayekuwa mume wangu

Wakati mwingine watu kama nyie naimbaga hivi.....

Msichana wa sura nzuriii,
Kitu gani kimekufanya Usiolewe,
Elimu unayo yakutosha,
hata ng'ambo ukaenda ukarudi.

Miaka yaenda Mbio sanaaa,
Na sura yako yazidi chuchukaaa
Ona watoto wa Nyuma yako,
wameolewa wamekuacha...
sawa
 
Mimi ni mwanamke wa miaka 29 nimeamua kuja jukwaani kutoa hitaji langu la moyo, kwa yeyote mwenye mapenzi ya dhati karibu sana, nipo mkoa wa Mwanza, ningefurahi kama ningepata mwanaume wa Mwanza, mimi ni mrefu kiasi, chocolate, mkristo na ni mwajiriwa serikalini.

Ni PM tuzingumze, kama haupo na lengo jitahidi kupita tu.

Asanteni
Pm nipo mza maeneo ya nela hapa tuyajenge
 
Back
Top Bottom