Nahitaji mwanaume atakayekuwa mume wangu

Naona karibu wote wanaotafuta waume humu ni new member, sijui kama wanajisajili kwa ajili ya kusaka bakora !!
Kuna reason moja kati ya hizi
1.wako kwenye special assignment
2.hawajiamini kutumia ID zao za zamani.
 
Kuhusu dini na umri Wa mme unayemtaka vp? au NIseme wasifu Wa mume mtarajiwa unataka uwe Vp?
 
Toa number yko
 
Wakati mwingine watu kama nyie naimbaga hivi.....

Msichana wa sura nzuriii,
Kitu gani kimekufanya Usiolewe,
Elimu unayo yakutosha,
hata ng'ambo ukaenda ukarudi.

Miaka yaenda Mbio sanaaa,
Na sura yako yazidi chuchukaaa
Ona watoto wa Nyuma yako,
wameolewa wamekuacha...
 
N pm tuzungumze mm pm haikubali bado n mgen jamvin
 
KIMBIA FASTA HAPA MABATINI NIKUKUTE KITUO CHA DALADALA HAPO SASA HIVI NAKUJA
NITAKUTAMBUAJE ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…