Mimi hapa nambie shosti[emoji15] [emoji15] [emoji15]Nimegundua sipendelei na wala siinjoy sex... Nahitaji mwanaume tutakaependana na kupeana emotional support bila kuhusisha sex.
Je wewe hutafuti? Mie nimekuzimia ujue ila tu naogopa kukuambia; seriously![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu umenichekesha sana
invest what you are willing to lose
Hahahaha, Mimi Nina mbiliJe wewe hutafuti? Mie nimekuzimia ujue ila tu naogopa kukuambia; seriously!
Hahahahah hii manaake nini?Tegemea kuwapata wengi
Teh..maana ni hiyo hiyoHahahahah hii manaake nini?
Acha utani ujue; unajua ni ngumu mtu kufunguka hadharani ila mimi imenibidi tu sina namna. Kama hutojali naomba tu unipokee. I am very serious ujueeHahahaha, Mimi Nina mbili
Utakubali zamu?
invest what you are willing to lose
Sina tatizo kuwa na wewe ila elewa Nina jinsia mbili na zote zinafanya kazi ipasavyoAcha utani ujue; unajua ni ngumu mtu kufunguka hadharani ila mimi imenibidi tu sina namna. Kama hutojali naomba tu unipokee. I am very serious ujuee
Kwa hapo nimefeli, kwa kheri. Ngoja nipambane na hali yangu tu.Sina tatizo kuwa na wewe ila elewa Nina jinsia mbili na zote zinafanya kazi ipasavyo
Kama upo tayar kupeana zamu sawa
invest what you are willing to lose
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kwa hapo nimefeli, kwa kheri. Ngoja nipambane na hali yangu tu.