Nahitaji mwanaume hanithi

Nahitaji mwanaume hanithi

Status
Not open for further replies.
Nimegundua sipendelei na wala siinjoy sex... Nahitaji mwanaume tutakaependana na kupeana emotional support bila kuhusisha sex.
Sasa mwisho wake itakuwaje sasa!!hata mara moja kwa wiki wewe hakuna???
 
Nimegundua sipendelei na wala siinjoy sex... Nahitaji mwanaume tutakaependana na kupeana emotional support bila kuhusisha sex.
we ni jini sio mwanadamu. shindwa kwa Jina la Yesu!
 
Umenikumbusha novel ya yule mganda sijui jina lake nani nilikisoma o level
The lion and the Jew

invest what you are willing to lose
 
Nimegundua sipendelei na wala siinjoy sex... Nahitaji mwanaume tutakaependana na kupeana emotional support bila kuhusisha sex.
Wacha hizo basi. Hakuna mwanaume hanithi, ww sema unataka kumpiga dildo kwa sbb ni bahati mbaya tu ww ulizaliwa mwanamke lkn una hormone za kiume kuzidi.
 
Hahahahahah mkuuu huyo hanithi unataka kumpeleka migodini nini ???? Usikute ushaambiwa ili ufanikiwe let's damu ya hanithi

Hahahahahaha nakutaniaukweli.
 
Humu Ndani mna Vijitu na vidudu... That's awkward. Am sorry bebi hapa kuna Masimba pia na mandume...hamna taipu yako
 
Nimegundua sipendelei na wala siinjoy sex... Nahitaji mwanaume tutakaependana na kupeana emotional support bila kuhusisha sex.
Ulichokiandika, hakitoki moyoni kinatoka mdomoni baada ya kupitia maumivu na mateso makubwa katika mahusiano na hapo ulipo umekataa tamaa ya mahusiano.
Mahusiano yana changamoto sana hasa za kwa zama hizi za .com. Omba Mungu atakupa anayekupenda. Hiyo ni dalili ya kukata tamaa. Huo husiano haupo labda kama umezaliwa tumbo mmoja.
Pole sana.
 
Kama huhitaji SEX BASI mwanamme HANITHI PIA HAKUFAI..tafuta SHOGA uishi NAE...SABABU mwanaume HANITHI hasimamishi VIZURI...au HAISIMAMI kabisa LAKINI ANATAMANI SEX....hivyo atakutia HATA VIDOLE.....itakuwa bado USUMBUFU UNAUPATA...nashauri LITAFUTE SHOGA KAA NALO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duniani kuna mambo hapa mweeee....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom