Nahitaji mwanaume hanithi

Nahitaji mwanaume hanithi

Status
Not open for further replies.
Nimegundua sipendelei na wala siinjoy sex... Nahitaji mwanaume tutakaependana na kupeana emotional support bila kuhusisha sex.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124]ukweli wa moyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeathirika na u lesbian ndio mana akili yako haiko tuned na Normal sex, Tafuta mwanaume Homosexual au Bisexual
Sometimes ni ulemavu... Way back 1993l nilidate na binti mmoja.. She was wonderful in all aspect kasoro intimation
The day ndio tumeamua kutoka ni kama alikuwa anaenda kunyongwa... Sikuenjoy hata chembe... Iliniumiza sana ila akaja kuniambia ukweli kuwa hana hisia zozote kwenye sex acts.. She is still single to date.. And she is my best friend

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimegundua sipendelei na wala siinjoy sex... Nahitaji mwanaume tutakaependana na kupeana emotional support bila kuhusisha sex.
Mbona shoga wapo kibaoooo? Nenda magomeni traventine hotel hata sasa utajipatia
 
Nafikiri kila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake, lakini pia mawazo haya yawe chanya kwa jamii inayokuzunguka. Halafu hapa kati nishasahau nilitaka kusema nini, pamoja na kwamba mchicha umekua, na migomba imekomaa vizuri, samaki nao wamezaa uzuri tuu. Mvua sio mbaya, kwa hali ya hewa hii, inawezekana usiku mvua ikanyesha, yote kwa yote, tunahitaji kuwa na maamuzi ya busara na maana pale tunaposhinda bahati nasibu.Hali ya mchezo ni kuanza sasa hivi, raha ya ngoma uingie uchezee
 
na je nikiwa sio hanith nikawa nakupa support unayotaka ila na sex na jirani yetu au mtu mwingine tu? maana we piasi sio hanith?
 
Sometimes ni ulemavu... Way back 1993l nilidate na binti mmoja.. She was wonderful in all aspect kasoro intimation
The day ndio tumeamua kutoka ni kama alikuwa anaenda kunyongwa... Sikuenjoy hata chembe... Iliniumiza sana ila akaja kuniambia ukweli kuwa hana hisia zozote kwenye sex acts.. She is still single to date.. And she is my best friend

Sent using Jamii Forums mobile app

Aisee anko upo kwenye game kitambooo. Toka 1993.?? Heheheheeeee
 
b2c6553166c534e79b9c48fd2c6925a9.jpg

Sifa ya mwanumeeee!!!
Mwaume mashineee!!!
 
Hahahaaa.

What I wanted to do is to help her cuz naishi Ilala na nawafaham watoto wa kiarabu wengi ambao wanapenda this game.

Sasa nikataka nim-pm ili niweze kum-connect nao ili nae aweze ku-enjoy na kufurahia maisha kama binadam wengine asiwe lonely.

Ndo mana nikasema nim-check pm nikakuta amefunga pm that's why nikamuuliza mbona umefunga pm yako.

Lengo ilikuwa ni kumsaidia ndugu yetu nae afurahie maisha na asiwe mpweke wandugu.

Thanks.
Usikatae na kujitetea sana ni hanithi ww
 
Back
Top Bottom