Nahitaji mwanaume M-nigeria au M-ghana

Rahisi tafuta Hammer / gari zuri na benki statement ya kugushi ya dollar (at least 20,000 balance ) halafu uwe una-hang pale samaki samaki Mlimani city watakutokea tu wakulize.
 
Habari bestito unataka mnajeria au mghana mwee
sasa mbona hujaandika kwa lugha yao ili waelewe na waje
maana lugha hii wataielewe best yangu?
 
Sina sharti lolote wala siangalii kigezo chochote ili mradi uwe na pesa.

Asanteni

Madame B


First of all hukusema huyo mwanaume unamtaka kwa ajili gani pili approach uliyotumia ya kumtafuta foreigner huku uswahilini huku ukijua unaowatafuta wanapatikana west Afrika ni kwamba huko serious na unachokitafuta hivyo hata ukimpata mmakuwa mwenye hulka ya ki Igbo basi utajibebea!
 
Afulu m gi na anya 🙂

Karibu sana Nigeria, lakini pesa nilimuazima Buhari katika uchaguzi.
 
Tupe urefu wako ili tukushauri kama uendelee na hako kampango kako au uachane nako kwa usalama wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…