Nahitaji mwanaume mwenye mapenzi ya dhati

Queen Shim

Member
Joined
Apr 23, 2017
Posts
21
Reaction score
13
Habari wana Love connect,

Nina miaka 25, single mother wa mtoto mmoja, nahitaji mpenzi baadae awe mume kama tutakubaliana na kuelewana, ni muislam, shughuli zangu za ujasiliamali, naishi Dar. Kiumbo ni mnene wa wastani urefu ft5.6 rangi ya maji ya kunde.

Nahitaji humble man, mcheshi( kwani nami ni mcheshi pia) awe muislam age kuanzia
29-30

Kwa aliye serious ni PM
 
Wanawake sikuhizi nishida hawarjziki navidogo nahapendi kukosa WW hupatetuuuuu
 

Nina 31
Mkristo wa Kanisa la Wokovu
Vipi huchukui?
 
Tatizo lenu maa-single mother mapenzi yenu yanaongozwa na stress kutokana na mliyoyapitia,

Na mbaya hamkawii kuwasingizia wenzi wenu kuwa wamebaka au kulawiti watoto wenu,
Pindi mnapotofautiana yaan single mother kaa naye lakini mwanaye mwambie amwache kwao tena hasa hawa wasahili.

Fatilia kesi nyingi ukiskia baba alitaka kumbaka mwanaye au kumlawiti utakuta Ni mtoto wa kufkia,
Hapo ujue tayari waligombana na single mother akaamua kumkomoa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…