Nahitaji mwanaume mwenye mapenzi ya dhati

Nahitaji mwanaume mwenye mapenzi ya dhati

Mzazi mwenzako yuko wapi?? Je ukimpata mwanaume alafu siku moja ya mapumziko mzazi mwenzio akasema umpeleke mtoto kwake itakuwaje?? Mawasiliano ya wewe na mzazi mwenzio yakoje??
Hili lazima ilifikirie, wanaume hatupendagi ujinga vinginevyo utatumika tu.

Hapo sasa manake inasemakana kuwa "Mtalaka huwa hatongozwi " yani Watu ambao walikuwa wapenzi hapo nyuma wakikutana hawaanzi kuimbishana Na kubembelezana badala hurekebisha mambo fasta!
 
We una akili kweli umeshazalishwa uko aliekuzalisha kwann hajakuoa unaonekana ww una matatizo halafu mwanaume gani ana huo umri hana mchumba au mke yani ukiona umefikisha miaka 25 hujaelewa ujue ndo bac tena we utakuwa wa kupigwa miti na kuachwa
Mbona wewe unazaidi ya 30+ na huna maisha yakueleweka
 
Haya maneno yako makali sana hayana hekima.
Tumia busara kidogo.
Na wanaume mnaotukana hivi ndio mnaowapa wanawake mimba na kupotea.
Huyo wala asikupe shida. Namjua fika Ngoja nikutafutie picha yake Facebook, hutashangaa kujibu hivyo
 
Unatafuta mume humu JF wakati mtaani kwenu ulipata mwanaume akakupa mimba ww ukaitoa labda kama umeacha tabia ya kutoa mimba utapata mume ila kama hujaacha ndoa utaisikia tu kwa wenzako wanaojua kulea mimba
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Habari wana Love connect,

Nina miaka 25, single mother wa mtoto mmoja, nahitaji mpenzi baadae awe mume kama tutakubaliana na kuelewana, ni muislam, shughuli zangu za ujasiliamali, naishi Dar. Kiumbo ni mnene wa wastani urefu ft5.6 rangi ya maji ya kunde.

Nahitaji humble man, mcheshi( kwani nami ni mcheshi pia) awe muislam age kuanzia
29-30

Kwa aliye serious ni PM
Nishakupata. Karibu tuyajenge
 
weka pcha acha maneno hv kwann mnapenda kuuza mbuzi guniani[emoji32][emoji32][emoji32]
 
Back
Top Bottom