Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Mzazi mwenzako yuko wapi?? Je ukimpata mwanaume alafu siku moja ya mapumziko mzazi mwenzio akasema umpeleke mtoto kwake itakuwaje?? Mawasiliano ya wewe na mzazi mwenzio yakoje??
Hili lazima ilifikirie, wanaume hatupendagi ujinga vinginevyo utatumika tu.
Hapo sasa manake inasemakana kuwa "Mtalaka huwa hatongozwi " yani Watu ambao walikuwa wapenzi hapo nyuma wakikutana hawaanzi kuimbishana Na kubembelezana badala hurekebisha mambo fasta!