Bandu Ncheche
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 512
- 326
Ninazo sifa zote ulizozitaja, ila nataka kujua huyo baba wa huyo mtoto yuko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzazi mwenzako yuko wapi?? Je ukimpata mwanaume alafu siku moja ya mapumziko mzazi mwenzio akasema umpeleke mtoto kwake itakuwaje?? Mawasiliano ya wewe na mzazi mwenzio yakoje??Habari Wana Love connect, Nina miaka 25,single mother Wa Mtoto mmoja,nahitaji mpenzi baadae awe Mume kama tutakubaliana na kuelewana, ni muislam, shughuli zangu za ujasiliamali, naishi dar
Kiumbo ni mnene Wa wastan urefu ft5.6 rangi ya maji ya kunde,
Nahitaji humble man, mcheshi( kwani nami ni mcheshi pia) awe muislam age kuanzia
29-30
Kwa aliye serious ni PM
Wadukuzi hao watekajiWhy ni ID mpya tu ndizo zinazotafuta wachumba?
Haya maneno yako makali sana hayana hekima.We una akili kweli umeshazalishwa uko aliekuzalisha kwann hajakuoa unaonekana ww una matatizo halafu mwanaume gani ana huo umri hana mchumba au mke yani ukiona umefikisha miaka 25 hujaelewa ujue ndo bac tena we utakuwa wa kupigwa miti na kuachwa
Habari wana Love connect,
Nina miaka 25, single mother wa mtoto mmoja, nahitaji mpenzi baadae awe mume kama tutakubaliana na kuelewana, ni muislam, shughuli zangu za ujasiliamali, naishi Dar. Kiumbo ni mnene wa wastani urefu ft5.6 rangi ya maji ya kunde.
Nahitaji humble man, mcheshi( kwani nami ni mcheshi pia) awe muislam age kuanzia
29-30
Kwa aliye serious ni PM
Nikweli au
Humwi
Nitafute
Nahitaji dem wakuowa
Kamaww
Wanawake sikuhizi nishida hawarjziki navidogo nahapendi kukosa WW hupatetuuuuu
Kina baba kitunze chandani hawara hanashukurani