Nahitaji mwanaume mwenye mapenzi ya dhati

Ninazo sifa zote ulizozitaja, ila nataka kujua huyo baba wa huyo mtoto yuko wapi?
 
Mzazi mwenzako yuko wapi?? Je ukimpata mwanaume alafu siku moja ya mapumziko mzazi mwenzio akasema umpeleke mtoto kwake itakuwaje?? Mawasiliano ya wewe na mzazi mwenzio yakoje??
Hili lazima ilifikirie, wanaume hatupendagi ujinga vinginevyo utatumika tu.
 
Hapo kwenye Ucheshi..nimepita dada..njoo inbox plz..pia ni muslim
 
Naambiwa tangu mwaka jana orodha ya wadada wanaotafuta waume wa kuwaoa imeongezeka. .hivi tatizo ni nini?
 
Hawako tayar wanachaguwa sijuwi awenamachoomskubwa nitafute mm kwanza sina hatadem mama watoto kafariki karibuni
 
Mwanaume KAZI pumbu urembo
 

Attachments

  • tapatalk_1494044662777.jpeg
    12.6 KB · Views: 27
We una akili kweli umeshazalishwa uko aliekuzalisha kwann hajakuoa unaonekana ww una matatizo halafu mwanaume gani ana huo umri hana mchumba au mke yani ukiona umefikisha miaka 25 hujaelewa ujue ndo bac tena we utakuwa wa kupigwa miti na kuachwa
 
We una akili kweli umeshazalishwa uko aliekuzalisha kwann hajakuoa unaonekana ww una matatizo halafu mwanaume gani ana huo umri hana mchumba au mke yani ukiona umefikisha miaka 25 hujaelewa ujue ndo bac tena we utakuwa wa kupigwa miti na kuachwa
Haya maneno yako makali sana hayana hekima.
Tumia busara kidogo.
Na wanaume mnaotukana hivi ndio mnaowapa wanawake mimba na kupotea.
 

Ninamjuwa mmoja Ana sifa zote, tofauti ni mkiristo. MUNGU ni mmoja.
 
Pole Dada,yani dunia hii ina majaribu sn
 
Unatafuta mume humu JF wakati mtaani kwenu ulipata mwanaume akakupa mimba ww ukaitoa labda kama umeacha tabia ya kutoa mimba utapata mume ila kama hujaacha ndoa utaisikia tu kwa wenzako wanaojua kulea mimba
 
Nikweli au



Nahitaji dem wakuowa


Wanawake sikuhizi nishida hawarjziki navidogo nahapendi kukosa WW hupatetuuuuu

Kina baba kitunze chandani hawara hanashukurani

😑😑😑😑😑😑😑 Sheikh vipi..!? Huna vigezo mpaka hapo...
 
Yani Wewe ni Mcheshi halafu na unaemtaka nae awe mcheshi? Kwa mtazamo wangu nazani ili kubalance equation itafaa zaidi Kama utampata ambae siyo mcheshi , sasa labda tusaidieni kinyume cha kuwa mcheshi ni kuwa namna gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…