Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kwamba tunalindana?
Njoo pm ila uje na picha 3 na wasifu wako kwa ujumlanaitaji mwanaume wa kuishi uchumba mpaka ndoa ndani ya miezi sita.
awe mrefu 6 awe mkristo awe na kazi alali inayoweza tunza familia.
kabila lolote asiwe dikteta ajue aneyeenda ishi naye ni mke na si mtumishi wake. asiwe mlalamishi pia naitaji nitakaye jenga upendo wetu sio wa majaribio. mi nina miaka 32 ni mkristo nimemaliza chuo. asiye tayari awe na aman ya Mungu usiwaze kutukana wala kunijaribu.
je una chura, wew ni mrefu? sio bonge nyanya? je wew una kipato au unataka kurahisishiwa kipato,? je huoni kuishi bila ndoa kwa wakristo kama wew ni uzinifu wa kiwango cha standard gauge?naitaji mwanaume wa kuishi uchumba mpaka ndoa ndani ya miezi sita.
awe mrefu 6 awe mkristo awe na kazi alali inayoweza tunza familia.
kabila lolote asiwe dikteta ajue aneyeenda ishi naye ni mke na si mtumishi wake. asiwe mlalamishi pia naitaji nitakaye jenga upendo wetu sio wa majaribio. mi nina miaka 32 ni mkristo nimemaliza chuo. asiye tayari awe na aman ya Mungu usiwaze kutukana wala kunijaribu.
Utasubiri sana! I assure you that none will be ready to marry you.kuweka mezani sio shida ntaweka ila ajue kutakuwa na haki sawa akitaka nimnyenyekee awe tayari kunitunza kama mke
naitaji mwanaume wa kuishi uchumba mpaka ndoa ndani ya miezi sita.
awe mrefu 6 awe mkristo awe na kazi alali inayoweza tunza familia.
kabila lolote asiwe dikteta ajue aneyeenda ishi naye ni mke na si mtumishi wake. asiwe mlalamishi pia naitaji nitakaye jenga upendo wetu sio wa majaribio. mi nina miaka 32 ni mkristo nimemaliza chuo. asiye tayari awe na aman ya Mungu usiwaze kutukana wala kunijaribu.
Muislam je humtaki?naitaji mwanaume wa kuishi uchumba mpaka ndoa ndani ya miezi sita.
awe mrefu 6 awe mkristo awe na kazi alali inayoweza tunza familia.
kabila lolote asiwe dikteta ajue aneyeenda ishi naye ni mke na si mtumishi wake. asiwe mlalamishi pia naitaji nitakaye jenga upendo wetu sio wa majaribio. mi nina miaka 32 ni mkristo nimemaliza chuo. asiye tayari awe na aman ya Mungu usiwaze kutukana wala kunijaribu.
Tatizo seat zimejaa unakubali kwenda umesimama?
Hapa ndio umeongea sawia hakuna wawili waishio kwa haki sawa lazima kuna mmoja anasacrifice kitu Fulani kikubwa ikiwa haki sawa mwanamume asilimia Kubwa huwa hatukubali narudia tena hatukubali hata kidogo .Una 32 na umefika hiyo 32 kutokana jeuri yako ya kutaka haki sawa, hakuna haki sawa baina ya mke na mume na kama Mungu angetaka haki sawa iwepo basi asingetofautisha jinsia zetu.
Kinachoweza kuwepo ni kusaidiana kazi na majukumu ila usiite haki sawa maana iko siku utamwambia mumeo aende jikoni ilihali yeye kupika ni willing yake, iko siku utamwambia ainuke akaoshe vyombo kwakua ni zamu yake sasa unadhani atakubali? Asipokubali ujue haki sawa haipo tena.
Nakusihi kama huko darasani kwenu mwalimu wako alikwambia lazima upate haki sawa kwa mumeo jua utazeeka ukiwa kwenu na utakua single mother.
Hatuombei mabaya ila badilisha kugha na misimamo yako, utaona mchumba anapatikana mapema tu.
Naongea from experience nimeoa nafahamu, mke wangu ni msomi wa shahada ya kwanza, kama angeanza kama wewe basi ningeshamtema long tu, nasaidia kazi za ndani ninapokua free na ninapokua willing
Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
Katafute wa chuo mwenzako ambae mtaishi kwa kuigiza hadithi za magazetini na sinemanaitaji mwanaume wa kuishi uchumba mpaka ndoa ndani ya miezi sita.
awe mrefu 6 awe mkristo awe na kazi alali inayoweza tunza familia.
kabila lolote asiwe dikteta ajue aneyeenda ishi naye ni mke na si mtumishi wake. asiwe mlalamishi pia naitaji nitakaye jenga upendo wetu sio wa majaribio. mi nina miaka 32 ni mkristo nimemaliza chuo. asiye tayari awe na aman ya Mungu usiwaze kutukana wala kunijaribu.
Huyo mume wa kupatikana kupitia Social Networks, sijui!!naitaji mwanaume wa kuishi uchumba mpaka ndoa ndani ya miezi sita.
awe mrefu 6 awe mkristo awe na kazi alali inayoweza tunza familia.
kabila lolote asiwe dikteta ajue aneyeenda ishi naye ni mke na si mtumishi wake. asiwe mlalamishi pia naitaji nitakaye jenga upendo wetu sio wa majaribio. mi nina miaka 32 ni mkristo nimemaliza chuo. asiye tayari awe na aman ya Mungu usiwaze kutukana wala kunijaribu.
chuo cha kutengeza magari
Madrasa nahisi