Nahitaji mwanaume na kuishi naye kama mume

naitaji mwanaume wa kuishi uchumba mpaka ndoa ndani ya miezi sita.
awe mrefu 6 awe mkristo awe na kazi alali inayoweza tunza familia.
kabila lolote asiwe dikteta ajue aneyeenda ishi naye ni mke na si mtumishi wake. asiwe mlalamishi pia naitaji nitakaye jenga upendo wetu sio wa majaribio. mi nina miaka 32 ni mkristo nimemaliza chuo. asiye tayari awe na aman ya Mungu usiwaze kutukana wala kunijaribu.
Njoo pm ila uje na picha 3 na wasifu wako kwa ujumla
 
naitaji mwanaume wa kuishi uchumba mpaka ndoa ndani ya miezi sita.
awe mrefu 6 awe mkristo awe na kazi alali inayoweza tunza familia.
kabila lolote asiwe dikteta ajue aneyeenda ishi naye ni mke na si mtumishi wake. asiwe mlalamishi pia naitaji nitakaye jenga upendo wetu sio wa majaribio. mi nina miaka 32 ni mkristo nimemaliza chuo. asiye tayari awe na aman ya Mungu usiwaze kutukana wala kunijaribu.
je una chura, wew ni mrefu? sio bonge nyanya? je wew una kipato au unataka kurahisishiwa kipato,? je huoni kuishi bila ndoa kwa wakristo kama wew ni uzinifu wa kiwango cha standard gauge?
 
WP yaani wewe ni pilisi? Duh woman police hapo nimekuelewa kwanini umesema hutaki dikteta maana job unakutana na udikteta hivyo home hutaki unataka uwe relaxed
 
kuweka mezani sio shida ntaweka ila ajue kutakuwa na haki sawa akitaka nimnyenyekee awe tayari kunitunza kama mke
Utasubiri sana! I assure you that none will be ready to marry you.
Jiulize toka yule aliyekutoa bikra hadi leo umejaza daladala-Hiace ngapi? Unadhani hao walio kulala hadi leo hii umefikisha miaka 32 ungekuwa unafaa kuwa mke hapo mtaani kwenu wangekuacha?

Haya umekwenda chuo kama unavyodai; je huko kote hawajakuona? Wewe kwa nyodo zako Utasubiri sana na hadi utafikisha 40 years. Kama unadhani mie muongo waulize wahenga wenzakk humu jf wanasanda kila siku kutafuta na wanaishia kuvuliwa chupi na kumwagwa.

Wanabadili Id wanakuja kivingine wanapigwa miti na kumwagwa; hadi akili iwakae sawa.

Eti ndani ya miezi sita uchumba kisha process za ndoa zianze! Khaaaa we bwege kweli kama mtu jajaridhika na papuchii yako? Hata akikuta bwawa la mtera abebe tu? Hao walio kutusua hadi leo kama wangeona wewe ni "MKE " si wangeshakuweka ndani?

Narudia tena kuwa humu lazima wa kukupiga pu.mbu apatikane ila wa kukuoa wewe Utasubiri sana.

Panic at your own risk
 
Sikuombei mabaya bi dada ila kwa hayo masharti labda Yesu mwenyewe aingilie kati maana sioni dalili ya wewe kufanikiwa!

Ila kila la heri...maana ya Mungu mengi.
 
naitaji mwanaume wa kuishi uchumba mpaka ndoa ndani ya miezi sita.
awe mrefu 6 awe mkristo awe na kazi alali inayoweza tunza familia.
kabila lolote asiwe dikteta ajue aneyeenda ishi naye ni mke na si mtumishi wake. asiwe mlalamishi pia naitaji nitakaye jenga upendo wetu sio wa majaribio. mi nina miaka 32 ni mkristo nimemaliza chuo. asiye tayari awe na aman ya Mungu usiwaze kutukana wala kunijaribu.

Ninaweza kupata contact zako?
 
Muislam je humtaki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kipi bora kukuonye nilivyo sasa au kuwa mnafiki tukiingia ndani nabadilika
 
Una 32 na umefika hiyo 32 kutokana jeuri yako ya kutaka haki sawa, hakuna haki sawa baina ya mke na mume na kama Mungu angetaka haki sawa iwepo basi asingetofautisha jinsia zetu.

Kinachoweza kuwepo ni kusaidiana kazi na majukumu ila usiite haki sawa maana iko siku utamwambia mumeo aende jikoni ilihali yeye kupika ni willing yake, iko siku utamwambia ainuke akaoshe vyombo kwakua ni zamu yake sasa unadhani atakubali? Asipokubali ujue haki sawa haipo tena.

Nakusihi kama huko darasani kwenu mwalimu wako alikwambia lazima upate haki sawa kwa mumeo jua utazeeka ukiwa kwenu na utakua single mother.

Hatuombei mabaya ila badilisha kugha na misimamo yako, utaona mchumba anapatikana mapema tu.

Naongea from experience nimeoa nafahamu, mke wangu ni msomi wa shahada ya kwanza, kama angeanza kama wewe basi ningeshamtema long tu, nasaidia kazi za ndani ninapokua free na ninapokua willing

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
Hapa ndio umeongea sawia hakuna wawili waishio kwa haki sawa lazima kuna mmoja anasacrifice kitu Fulani kikubwa ikiwa haki sawa mwanamume asilimia Kubwa huwa hatukubali narudia tena hatukubali hata kidogo .

Wanawake wako karibu Mara 10 ya wanaume sasa kama ratio ni 1:10 tegemea kuwa mnyenyekevu ,msikivu ,mtulivu na mwenyewe kujitoa kwa Mume maana mwanamume akitaka kuoa ataoa lakini mwanamke kuolewa mpaka mwanamume aridhie sio rahisi kiasi hicho.

Vinginevyo ni hii hadidhi ya kuona kwamba wanalalama au ni wabishi wasiojali lazima ujitoe kwa huyu mwanamume .

Wanaume wengi wapo tu kwa sababu mwanamke anajitoa na kujielewa vinginevyo mahusiano mengi yangekua mashakani kuna msemo wa kiswahili unasema " mafahali wawili hawakai zizi moja" maana mkianza kudai haki sawa sijui nini wala hutochukua muda hata huyu utakayempata ataondoka zake utarudi tena hapa .

"Never stop learning because life never stop teaching"
 
naitaji mwanaume wa kuishi uchumba mpaka ndoa ndani ya miezi sita.
awe mrefu 6 awe mkristo awe na kazi alali inayoweza tunza familia.
kabila lolote asiwe dikteta ajue aneyeenda ishi naye ni mke na si mtumishi wake. asiwe mlalamishi pia naitaji nitakaye jenga upendo wetu sio wa majaribio. mi nina miaka 32 ni mkristo nimemaliza chuo. asiye tayari awe na aman ya Mungu usiwaze kutukana wala kunijaribu.
Katafute wa chuo mwenzako ambae mtaishi kwa kuigiza hadithi za magazetini na sinema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naitaji mwanaume wa kuishi uchumba mpaka ndoa ndani ya miezi sita.
awe mrefu 6 awe mkristo awe na kazi alali inayoweza tunza familia.
kabila lolote asiwe dikteta ajue aneyeenda ishi naye ni mke na si mtumishi wake. asiwe mlalamishi pia naitaji nitakaye jenga upendo wetu sio wa majaribio. mi nina miaka 32 ni mkristo nimemaliza chuo. asiye tayari awe na aman ya Mungu usiwaze kutukana wala kunijaribu.
Huyo mume wa kupatikana kupitia Social Networks, sijui!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom