Nahitaji mwanaume shupavu kwa ajili ya kunilinda kesho kwenye fiesta Dodoma

Huna boyfriend??
 
Nimekutumia namba yangu, nipigie badae kwasasa bado nipo gym. hiyo pesa ya malipo nyingi sana punga iwe buku mbili tu mi sina shida.
 
Pitia hapo central upewe ulinzi wa uhakika usije ukaliwa papuchu bure
 
Hii tayr ni ajira other benefits apart from salary IPO?
 
Weka na picha tuangalie kama kweli unapaswa kulindwa maana isiwe ni kinyume chake mlinzi ndo boss na boss ndo mlinzi
 
[QUOTDemiss, post: 24261858, member: 431952"]Kesho nahitaj kwenda fiesta maana sijawahi nasikia huwa kuna fujo sana hivyo naogopa kwenda peke yangu.

Nahitaji rafiki atakayenilinda muda wote wakati wa fiesta kwa wale waliopo Dodoma tu malipo 50000.

Njoo pm tuma picha zako mbili sitaki maswali unasubir jibu basi.[/QUOTE]
Nipo Dom hapa na hua sikosi fiesta

Ni inbox tuyajenge
 
sasa mlinzi utampataje huku? tembea dodoma utangaze hiyo fursa fupi watajitokeza mabaunsa tu..
 
Nenda pale ofisi za SGA wanatoa hiyo huduma..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…