Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,715
- 2,385
Huna boyfriend??Kesho nahitaj kwenda fiesta maana sijawahi nasikia huwa kuna fujo sana hivyo naogopa kwenda peke yangu.
Nahitaji rafiki atakayenilinda muda wote wakati wa fiesta kwa wale waliopo Dodoma tu malipo 50000.
Njoo pm tuma picha zako mbili sitaki maswali unasubir jibu basi.